UPDATE: GAME Supermarket kufunga rasmi biashara zake Tanzania

Saa nyingine unaweza kuta unamjibu mtu ambae ni kula kulala home,hajui mtaani pakoje mkuu.
 
Halafu Wawekezaji wakija na staffu wao kelele kibao, Arusha wahindi nawakubali sana wameleta hadi walinzi kutoka kwao,
Ebu mlipe mswahili dola elf 3, nyumba na usafiri uone kama atakuibia.
Watu mnafanya kazi moja na wewe ndo unahangaika sana unapewa laki 6 usafiri na nyumba juu yako unategemea matokeo sawa?
Ila sikubaliani na kuwa wezi tutafute namna ya kudai maslahi mazuri.
 
Hili sio jema kwa chumi zetu serekali makini ingekaa nao kuna nini sababu and how to rescue
 
Ngozi nyeusi hata umpe dola elfu 10 ataiba tu [emoji23][emoji1787]
 
Moja ya kigezo cha Mshahara ni halibya uchumi atokako Mgunda 5M inakidhi haha Tz ila Mshahara huo kea mzungu akiupeleka kwao hautoshi kitu.
 
Kuna watu wanalipwa 12M na bado wanaiba, refer hata kwa wabunge na mawaziri wako wa nchi[emoji34]
 
Vipi kutakuwa na bei ya promo ili kumaliza mzigo?

Inategemea wanataka kufunga lini hiyo biashara yao, wanaweza wakawa hawaleti mzigo ila wanauza tu mzigo ulipo...

Mfano Shoprite walipoondoka walifanya clearance sale ya vitu vyote...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…