UPDATE: GAME Supermarket kufunga rasmi biashara zake Tanzania

East Africa tumezoea magenge na uchafu-uchafu
Uongo, na sababu walizotoa za kushindwa biashara ni za uongo.

Tunataka magenge sio kwa vile tunapenda uchafu uchafu bali kwa sababu hatutaki vyakula vya kwenye makopo na kwenye friji ya dukani. Tunataka nazi ya kupasua wenyewe na kuku wa kuchinja na mboga za kuchuma na kwenda kupika, na ng'ombe inayotiririka damu buchani.

Waafrika tunataka fresh goods, not processed products. It's what we consume, it's how we roll.
 
Tatizo mishahara midogo sana wanalipwa. Unategeme huyo mtu anaishije?

Sehemu watu wanalipwa mishahara midogo ishu za wizi lazima ziwepo.

Linganisha na sehemu watu wanalipwa vizuri.
Kama tatizo la wizi chanzo ni mishahara basi wizi kama wa Epa usingetokea,ukifuatilia watu wengi wanapiga mabilioni utakuta pesa halali anayopata kwa mwezi ni zaidi ya 10m .Pesa haitoshagi mkuu.Rizika na kipato chako,ukiona mshahara ni mdogo ni bora uache kazi lakini sio kuiba ili ufidie ma gap.

Kwenye maisha yangu nimeshindwa kabisa kuajiriwa kwasababu kitu vijana wanaitaga michongo huwa nimeshindwa kabisa sijui kwanini.
 
Tatizo mishahara midogo sana wanalipwa. Unategeme huyo mtu anaishije?

Sehemu watu wanalipwa mishahara midogo ishu za wizi lazima ziwepo.

Linganisha na sehemu watu wanalipwa vizuri.
[emoji15][emoji15]mawaziri wangapi wanafanya wizi pamoja na kupata mamishahara, maposho makubwa, Mkuu usijifanye kama huwajui wabongo
 
Point nzito sana yani mbaaali na kila kitu sera ya KODI hata Tz inatufelisha hata ss wazawa sembuse wawekezaji, amekodi eneo la biashara bado unalipia kodi ya kukodi eneo_hivi hiki kipengele hua hakiniingii akilini kabisa na mrundikano wa kodi kibao mpaka unaendesha biashara tz uwe mwizi sana ndio upige hatua
 
Sio wa tz wezi! Mfumo wa maisha "kama huli_unaliwa" tunaelekea kama walivyo wa naigeria
 

“Kukosa mwekezaji wa ndani” they said! [emoji15]
 
Si wanasema biashara tz zimeimarika kupitia royal tour.Sasa imekuwaje hwa wanafunga biashara zao?
Washachoka kufanya bihashara na waswahili. Waswahili wezi sana, wafanyakazi na wateja wote ni wezi tuuu. Wamiriki wanapata taabu kuendesha bihashara
 
Majizi Hadi Game Supermarket Nilidhani Ccm Tu
 
Jamani, sasa docho lingine la kushangaashangaa kisha unatoka na kapipi tu ni wapi? Wengine ndo tulipatumia kupooza mwili kwa kiyoyozi baada ya kukung'utwa na jua la dar. R.I.P

Kuna hatari Mlimani City yote ikapotea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…