UPDATE : Hatimaye mambo yamekaa vizuri kwa upande wangu na binti

Ongera lkn .pia akikuacha pia uzi hapa utakuwa muhimu sana .

Mara yako ya kwanza nn?kuingia,kweny mapenz ? Wanawake ni hatari🔥🔥🔥🔥

Kuongea naye kila siku kila saa siyo evidence kwamba kuna upendo wa kweli yanaweza pia kuwa maegizo hayo.
 
watu mnachuki jaman umaskini mbaya sana 🤣🤣🤣
wewe ni stupid useleless , wewe ni kondooo mbwa maskini idiot
kwahyo unategemea napata hela nisimpe yeye nikupe wewe? kwasababu nikimpa naonekana simp? ujinga sana embu heal your life and your mentality , umejaza mentality zakipumbavu na kimaskini kichwani
Wewe simp tuma hela ili vijana wa depo na maafande wamtombe vizuri huyo kuruta wako. Utatukana mpaka umalize matusi yote lakini huna ukuaji wa kihisia wala akili za kumuoa na kumtuliza mwanamke polisi wewe. Tunakusanua hapa unaishia kupaniki na kuporomosha matusi. Sasa ulianzisha uzi tukusifie ili u-justify u-simp na ujinga wako hapa?

Ukianzisha uzi hapa basi uwe tayari kupokea mawazo ya aina zote. Haya endelea kuporomosha matusi kama kichaa huku wenzio wanamwinamisha huku.

You are a pathetic loser and an embarrassment to all REAL men!
 
Kama sio kiziwi, asikie sauti hii.
Kama sio sikio la kufa asikie dawa hii.
 
Yaan MTU akimjali mchumba wake mnamwita simp.

Wewe Kama humjali mchumba wako au mpenzi wako ndio simp kabisaa.

Sijui mnakalilishana maujinga gani.

Mwacheni awe simp, Kama kumjali mpenzi ni u simp, acheni awe....

Nyinyi msiojali ndio wajanja wamjini...

It's okay
 
Kwani kuwa simp na gentleman ni kitu kibaya? Kwani kutuma hela kwa mpenzi wako akiwa depo ya upolisi Moshi na wewe ukiwa mbali ni vibaya? Sisi si tumetoa tu maoni yetu kulingana na uzoefu wetu? Alipoanzisha uzi alikuwa anataka tumsifie kuwa ni gentleman hata kama uzoefu wetu ni kinyume? Hili si jukwaa huru? Umemfuatilia jinsi anavyoporomosha matusi kwa ye yote anayetoa mawazo tofauti na yake au umedandia treni kwa mbele? Wewe ulitaka tuseme unavyotaka wewe kama vile experiences zetu zinafanana? Wewe kimekuuma nini? Wewe pia ni simp? Unaumia kuwa simp?
 
Safi sana na Mungu awasimamie na kuwaepusha na mabalaa yote na mkafanikishe lililo hitaji la mioyo yenu. Love is a beatiful thing bwana.

Achana na haya mafurushi ya huku yaliyojikatia tamaa na maisha, wasikukatishe tamaa.
Mbele ya hela hujawahi kua na maoni hasi.
 
Unaitwa Junior? Maana matoto yanayoitwa Junior huwa mazezeta kama hivi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…