Mad Max
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 35,566
- 104,386
Maboss.
Mwezi August niweka Uzi wenye kichwa: Nilitaka kununua Drone kwa Matumizi Binafsi, ila mbona gharama ya kulipia ni kubwa kuliko kununua?
Baada ya kupata madini kutoka kwa wadau, wengine tukajadili inbox nimenunua DJI Lito X1.
Siku ya kwanza baada ya kununua nikamgusia muuzaji kuhusu kusajili, akanisaidia nikalipia kwenye website ya TCAA nikapata control number nikalipia.
Vitu vikuu ni vitatu, drone, pilot na permit. Kuna some discount wanatoa kwa residents, na matumizi Binafsi.
Kwahiyo mi sahivi ni Pilot, niiteni Captain Max.