Captain Max una vitu vingi broMaboss.
Mwezi August niweka Uzi wenye kichwa: Nilitaka kununua Drone kwa Matumizi Binafsi, ila mbona gharama ya kulipia ni kubwa kuliko kununua?
View attachment 3673619
Baada ya kupata madini kutoka kwa wadau, wengine tukajadili inbox nimenunua DJI Lito X1.
View attachment 3673620
Siku ya kwanza baada ya kununua nikamgusia muuzaji kuhusu kusajili, akanisaidia nikalipia kwenye website ya TCAA nikapata control number nikalipia.
View attachment 3673621
Vitu vikuu ni vitatu, drone, pilot na permit. Kuna some discount wanatoa kwa residents, na matumizi Binafsi.
Kwahiyo mi sahivi ni Pilot, niiteni Captain Max.
Kwa hiyo unaweza kuituma Morogoro ikarudi? Inatumia muda ganiMaboss.
Mwezi August niweka Uzi wenye kichwa: Nilitaka kununua Drone kwa Matumizi Binafsi, ila mbona gharama ya kulipia ni kubwa kuliko kununua?
View attachment 3673619
Baada ya kupata madini kutoka kwa wadau, wengine tukajadili inbox nimenunua DJI Lito X1.
View attachment 3673620
Siku ya kwanza baada ya kununua nikamgusia muuzaji kuhusu kusajili, akanisaidia nikalipia kwenye website ya TCAA nikapata control number nikalipia.
View attachment 3673621
Vitu vikuu ni vitatu, drone, pilot na permit. Kuna some discount wanatoa kwa residents, na matumizi Binafsi.
Kwahiyo mi sahivi ni Pilot, niiteni Captain Max.
Hahaha utasikia Wazungu wanavamia nchi, hiyo taharuki yake si ya kitoto hadi Usalama wa Taifa watakuja🤣🤣Kuna nofly zone masta. Huwezi kuanzia tu kurusha kadude kwenye mitaa au Nyumba za watu.