britanicca
Platinum Member
- May 20, 2015
- 18,261
- 48,864
SawaTundu lissu yuko Imara na SALAMA na anawakumbusha akitoka ni mchaka mchaka
Nimewasiliana na mtu wa karibu sana wa kwake aloenda kupata taarifa baada ya Uzushi
Anasisitiza yeye si mtu wa nusu mkate wala kuhongwa yeye ni mtu wa kusimamia anachoamini kitaleta manufaa kwa nchi
Britanicca
aminaaaaShetani hajawahi kumshinda Mungu
Tukuamini vp chief! Ungetuwekea japo uthibitisho wa sauti!Tundu lissu yuko Imara na SALAMA na anawakumbusha akitoka ni mchaka mchaka
Nimewasiliana na mtu wa karibu sana wa kwake aloenda kupata taarifa baada ya Uzushi
Anasisitiza yeye si mtu wa nusu mkate wala kuhongwa yeye ni mtu wa kusimamia anachoamini kitaleta manufaa kwa nchi
Britanicca
Tundu lissu yuko Imara na SALAMA na anawakumbusha akitoka ni mchaka mchaka
Nimewasiliana na mtu wa karibu sana wa kwake aloenda kupata taarifa baada ya Uzushi
Anasisitiza yeye si mtu wa nusu mkate wala kuhongwa yeye ni mtu wa kusimamia anachoamini kitaleta manufaa kwa nchi
Britanicc
Mungu ataendelea kumlinda Lissu.Tundu Lissu yuko Imara na SALAMA na anawakumbusha akitoka ni mchaka mchaka
Nimewasiliana na mtu wa karibu sana wa kwake aloenda kupata taarifa baada ya Uzushi
Anasisitiza yeye si mtu wa nusu mkate wala kuhongwa yeye ni mtu wa kusimamia anachoamini kitaleta manufaa kwa nchi
Britanicca
Vipi unahisi nayeye ni mtu wa uSALAMA?Nini maana ya SALAMA na sio salama? Is another code?
Rumours Lissu mgonjwa zinaletwa na nyumbu wa Chadema. Rumours Lissu ni mzima zinaletwa na nyumbu wa Chadema.Tundu Lissu yuko Imara na SALAMA na anawakumbusha akitoka ni mchaka mchaka
Nimewasiliana na mtu wa karibu sana wa kwake aloenda kupata taarifa baada ya Uzushi
Anasisitiza yeye si mtu wa nusu mkate wala kuhongwa yeye ni mtu wa kusimamia anachoamini kitaleta manufaa kwa nchi
Britanicca
Shule zinafunguliwa wiki ijayo malizia holday packageRumours Lissu mgonjwa zinaletwa na nyumbu wa Chadema. Rumours Lissu ni mzima zinaletwa na nyumbu wa Chadema.
Ndiyo huyu uliandika hana tamaa ya madaraka, anafata sheria, mambo yake yamenyoka? Na kwamba.......!Tundu Lissu yuko Imara na SALAMA na anawakumbusha akitoka ni mchaka mchaka
Nimewasiliana na mtu wa karibu sana wa kwake aloenda kupata taarifa baada ya Uzushi
Anasisitiza yeye si mtu wa nusu mkate wala kuhongwa yeye ni mtu wa kusimamia anachoamini kitaleta manufaa kwa nchi
Britanicca
Sawa.Shule zinafunguliwa wiki ijayo malizia holday package
Siku nzima leo sijala chakula. Kwamba Binadamu mwenzetu ingekuwaje?Asante mkuu nakuamini mno
Wale ni Walinzi na wanateleleza majukumu yao kwa mujibu wa sheria na kanuni za Taaluma zao.Vipi unahisi nayeye ni mtu wa uSALAMA?
Kwa hulka yake ya kutopenda kupindisha mambo sidhani. Labda kama mfumo ndio umemchagua kuwa anaweza kuleta mabadiliko na hivyo wakaamua kumpa support ya chini chini.
Hata wale jamaa wanaovaa visoksi usoni pale mahakamani watu wanawalaumu bure tu. Unaweza kuta wako pale kwa USALAMA wa Lissu na sura sao zikionekana mwajiri anaweza kukasirika.