Tate Mkuu
JF-Expert Member
- Jan 24, 2019
- 46,405
- 138,158
Punguza kuweweseka mtoto wa shule.Rumours Lissu mgonjwa zinaletwa na nyumbu wa Chadema. Rumours Lissu ni mzima zinaletwa na nyumbu wa Chadema.
Punguza kuweweseka mtoto wa shule.Rumours Lissu mgonjwa zinaletwa na nyumbu wa Chadema. Rumours Lissu ni mzima zinaletwa na nyumbu wa Chadema.
Are you stable?Punguza kuweweseka mtoto wa shule.
AminaShetani hajawahi kumshinda Mungu
Anasemaje huyo nabii?Siku nzima leo sijala chakula. Kwamba Binadamu mwenzetu ingekuwaje?
Bado nafatilia Ushuhuda wa Nabii wa Ishara.
Angalau yeye analeta mada zenye uhakika kwa 90%Asante, ila shaka yetu haiwezi kuondoka kwa haya maelezo yako, maana hata ww sio chanzo cha kuaminika.
Not sure.Angalau yeye analeta mada zenye uhakika kwa 90%
Nyumbu wa kijani mna maoni ganiRumours Lissu mgonjwa zinaletwa na nyumbu wa Chadema. Rumours Lissu ni mzima zinaletwa na nyumbu wa Chadema.
Anasema kuna Mtu atalazimika kufanyiwa haki Kubwa mwezi huu Julya. Hata hivyo hujuma zitafanyika dhidi yake na zitaumbuliwa. Anasema Haki itapatikama kwa kuwa Lissu ni Mtu mkubwa na amebeba hatima kubwa ya Nchi.Anasemaje huyo nabii?
Mungu amjaalie neema ya ulinzi, pia akitoka ni muhimu kufanyiwa vipimo je mwilini hawajatia uchawi wao Msoga na mkojani fc?Tundu Lissu yuko Imara na SALAMA na anawakumbusha akitoka ni mchaka mchaka
Nimewasiliana na mtu wa karibu sana wa kwake aloenda kupata taarifa baada ya Uzushi
Anasisitiza yeye si mtu wa nusu mkate wala kuhongwa yeye ni mtu wa kusimamia anachoamini kitaleta manufaa kwa nchi
Britanicca
Bila Lisu kuachiwa vikwazo vya uchumi vitakavyokuja watakaoteseka ni Watanzania na siyo hao viongozi.Anasema kuna Mtu atalazimika kufanyiwa haki Kubwa mwezi huu Julya. Hata hivyo hujuma zitafanyika dhidi yake na zitaumbuliwa. Anasema Haki itapatikama kwa kuwa Lissu ni Mtu mkubwa na amebeba hatima kubwa ya Nchi.
Ni kweliBila Lisu kuachiwa vikwazo vya uchumi vitakavyokuja watakaoteseka ni Watanzania na siyo hao viongozi.
Hii imeendaTundu Lissu yuko Imara na SALAMA na anawakumbusha akitoka ni mchaka mchaka
Nimewasiliana na mtu wa karibu sana wa kwake aloenda kupata taarifa baada ya Uzushi
Anasisitiza yeye si mtu wa nusu mkate wala kuhongwa yeye ni mtu wa kusimamia anachoamini kitaleta manufaa kwa nchi
Britanicca
Ndiyo huyu uliandika hana tamaa ya madaraka, anafata sheria, mambo yake yamenyoka? Na kwamba.......!
Mungu ni Mwema sana
Ooh kumbe?Yule alimanisha Heche
Viongozi wapigwe ban ya kuenda nchi zenye democracy kuanzia kikwete amabae ndio chanzo cha yote yanayoendelea TanzaniaBila Lisu kuachiwa vikwazo vya uchumi vitakavyokuja watakaoteseka ni Watanzania na siyo hao viongozi.
Ni jitu aswaa, korofi kama nyegereHuyu jamaa hata ukiangalia video zake kipindi ni Mbunge.
Ni lijitu fulani strict sana.
Nilishangaa niliposikia hii ilipangwa
Rumours Kuna watu hawalali wanakunywa whisky zinaletwa na chawa. Rumours ni muislamu safi hanywi pombe, havuti bangi zinaletwa na chawa.Rumours Lissu mgonjwa zinaletwa na nyumbu wa Chadema. Rumours Lissu ni mzima zinaletwa na nyumbu wa Chadema.