Update : Lissu siyo Mgonjwa, Taarifa ya muda huu jion hii

Update : Lissu siyo Mgonjwa, Taarifa ya muda huu jion hii

Rumours Lissu mgonjwa zinaletwa na nyumbu wa Chadema. Rumours Lissu ni mzima zinaletwa na nyumbu wa Chadema.
Yani nyumbu ni viumbe wa ajabu sana. Wao hao hao ndiyo wanasema lisu kapewa sumu, mara oooh, lisu ni mgonjwa yuko mautiuti, sasa wanakuja na habari za lisu ni mzima wa afya. Hata sijui tuamini habari ipi sasa ?!
Nyumbu ni viumbe wa ajabu sana.
 
Anasisitiza yeye si mtu wa nusu mkate wala kuhongwa yeye ni mtu wa kusimamia anachoamini kitaleta manufaa kwa nchi
Muongo huyo. Wakati wa kukodisha chama kwa Lowassa ili agombelee urais mbona alikatiwa cha juu na mbowe akaamua kutusaliti sisi wafia chama? Akawadanganye wasiomjua.
 
Tundu Lissu yuko Imara na SALAMA na anawakumbusha akitoka ni mchaka mchaka

Nimewasiliana na mtu wa karibu sana wa kwake aloenda kupata taarifa baada ya Uzushi

Anasisitiza yeye si mtu wa nusu mkate wala kuhongwa yeye ni mtu wa kusimamia anachoamini kitaleta manufaa kwa nchi

Britanicca
Aione mpuuzi Mto wa mbu
 
Yani nyumbu ni viumbe wa ajabu sana. Wao hao hao ndiyo wanasema lisu kapewa sumu, mara oooh, lisu ni mgonjwa yuko mautiuti, sasa wanakuja na habari za lisu ni mzima wa afya. Hata sijui tuamini habari ipi sasa ?!
Nyumbu ni viumbe wa ajabu sana.
Ananzisha rumours mwenyewe halafu anataka Serikali ijibu.
 
Tundu Lissu yuko Imara na SALAMA na anawakumbusha akitoka ni mchaka mchaka

Nimewasiliana na mtu wa karibu sana wa kwake aloenda kupata taarifa baada ya Uzushi

Anasisitiza yeye si mtu wa nusu mkate wala kuhongwa yeye ni mtu wa kusimamia anachoamini kitaleta manufaa kwa nchi

Britanicca
Serikali inazushiwa vitu vingi vya hovyo na CHADEMA. Uongozi wa CDM umefeli baada ya chama kusambaratika, wamebakia mipasho tu mitandaoni. Tuliwaambia combination ya Tundu na Heche ni chupa na mfuniko katika UROPOKAJI, hawana karama za uongozi.

Hiyo taharuki wameipeleka hadi kwa mumewe Tundu huko Belgium
Screenshot_20250705_083658_Parallel Space Lite.jpg
 
Tundu Lissu yuko Imara na SALAMA na anawakumbusha akitoka ni mchaka mchaka

Nimewasiliana na mtu wa karibu sana wa kwake aloenda kupata taarifa baada ya Uzushi

Anasisitiza yeye si mtu wa nusu mkate wala kuhongwa yeye ni mtu wa kusimamia anachoamini kitaleta manufaa kwa nchi

Britanicca
Our reliable JF chanel, just tune In
 
Rumours Lissu mgonjwa zinaletwa na nyumbu wa Chadema. Rumours Lissu ni mzima zinaletwa na nyumbu wa Chadema.
"Rumors" maana yake ni minong'ono, tetesi au taarifa ambazo bado hazina uthibitisho kwa 100% lakini ukweli wake ni 50/50...

"Rumors" hu - create great awareness kwa wahusika. Na huu ndio ubinadamu...

"Rumors" huzuia jambo baya lisitokee. Na kwa Tundu Lissu taarifa kuwa anaweza kudhuriwa wala sio za kushangaza kwa kuwa siku zote CCM na serikali yao (kimakosa kabisa) wanadhani na kumuona kuwa ni adui yao.,.

Kwa hiyo hutafuta mwanya wowote wamuue au hata wamfiche sehemu yoyote isiyo na madhara ya moja kwa moja kwao. Mahakama na kisha Ukonga gerezani wanafikiri, wamefika, wamemfikisha. They're completely wrong 100%...!!

Lakini the real fact ktk hili ni kuwa, Tundu Lissu ni msaada wenu mkubwa sana Mtoto wa Shule anayeweza kuwasaidia kuwaepusha na vilio na majanga yaliyo mbele kuwaangamiza kama hamtakuwa na akili zaidi za kutambua majira na nyakati na watu sahihi wa kuwasikiliza...

Kwa hiyo hakuna aliyeshangaa kusikia ipo mipango ya kimdhuru. Na actually, hii ndiyo imekuwa mipango yenu tangu mwaka 2015 wakati wa Magufuli. Alijaribu kumuua 2017 akashindwa, baada ya miaka minne tu mbele, akafa yeye 2021...

It's very surprisingly kuwa, huyu mwanamke anapita mulemule alimopita mwenzake. Naye anataka kufa siyo..?
 
Back
Top Bottom