Anasisitiza yeye si mtu wa nusu mkate wala kuhongwa yeye ni mtu wa kusimamia anachoamini kitaleta manufaa kwa nchiTundu Lissu yuko Imara na SALAMA na anawakumbusha akitoka ni mchaka mchaka
Nimewasiliana na mtu wa karibu sana wa kwake aloenda kupata taarifa baada ya Uzushi
Anasisitiza yeye si mtu wa nusu mkate wala kuhongwa yeye ni mtu wa kusimamia anachoamini kitaleta manufaa kwa nchi
Britanicca
Mkuu Btitanicca kulikuwa na haja ya kuweka haya maneno? Yana uhusiano gani na Mwenendo wa Afya yake?Anasisitiza yeye si mtu wa nusu mkate wala kuhongwa
Asante, ila shaka yetu haiwezi kuondoka kwa haya maelezo yako, maana hata ww sio chanzo cha kuaminika.Tundu Lissu yuko Imara na SALAMA na anawakumbusha akitoka ni mchaka mchaka
Nimewasiliana na mtu wa karibu sana wa kwake aloenda kupata taarifa baada ya Uzushi
Anasisitiza yeye si mtu wa nusu mkate wala kuhongwa yeye ni mtu wa kusimamia anachoamini kitaleta manufaa kwa nchi
Britanicca
Kuna kitu umesema hapa.Vipi unahisi nayeye ni mtu wa uSALAMA?
Kwa hulka yake ya kutopenda kupindisha mambo sidhani. Labda kama mfumo ndio umemchagua kuwa anaweza kuleta mabadiliko na hivyo wakaamua kumpa support ya chini chini.
Hata wale jamaa wanaovaa visoksi usoni pale mahakamani watu wanawalaumu bure tu. Unaweza kuta wako pale kwa USALAMA wa Lissu na sura sao zikionekana mwajiri anaweza kukasirika.
Hahaha......ni muhimu sana zakuambiwa....Asante, ila shaka yetu haiwezi kuondoka kwa haya maelezo yako, maana hata ww sio chanzo cha kuaminika.
😁Tukuamini vp chief! Ungetuwekea japo uthibitisho wa sauti!
Yupo Usa river Arusha kwa akina Nassari 🐼Huyu jamaa wa Mto wa mbu ya illions huko marekani naye kidogo dishi limeyumba. Story zake nyingi ni za mzahamzaha.
Sio wa kumwamini.
Kwa nn Zitto na Mbowe hawaendi kumsalimia?Tundu Lissu yuko Imara na SALAMA na anawakumbusha akitoka ni mchaka mchaka
Nimewasiliana na mtu wa karibu sana wa kwake aloenda kupata taarifa baada ya Uzushi
Anasisitiza yeye si mtu wa nusu mkate wala kuhongwa yeye ni mtu wa kusimamia anachoamini kitaleta manufaa kwa nchi
Britanicca
Great....reading between lines.Nini maana ya SALAMA na sio salama? Is another code?
Wanajitekenya kisha wanacheka wenyeweRumours Lissu mgonjwa zinaletwa na nyumbu wa Chadema. Rumours Lissu ni mzima zinaletwa na nyumbu wa Chadema.