Update : Lissu siyo Mgonjwa, Taarifa ya muda huu jion hii

Mungu amjaalie neema ya ulinzi, pia akitoka ni muhimu kufanyiwa vipimo je mwilini hawajatia uchawi wao Msoga na mkojani fc?
 
Anasema kuna Mtu atalazimika kufanyiwa haki Kubwa mwezi huu Julya. Hata hivyo hujuma zitafanyika dhidi yake na zitaumbuliwa. Anasema Haki itapatikama kwa kuwa Lissu ni Mtu mkubwa na amebeba hatima kubwa ya Nchi.
Bila Lisu kuachiwa vikwazo vya uchumi vitakavyokuja watakaoteseka ni Watanzania na siyo hao viongozi.
 
Hii imeenda
 
Bila Lisu kuachiwa vikwazo vya uchumi vitakavyokuja watakaoteseka ni Watanzania na siyo hao viongozi.
Viongozi wapigwe ban ya kuenda nchi zenye democracy kuanzia kikwete amabae ndio chanzo cha yote yanayoendelea Tanzania
 
Huyu jamaa hata ukiangalia video zake kipindi ni Mbunge.

Ni lijitu fulani strict sana.
 
Rumours Lissu mgonjwa zinaletwa na nyumbu wa Chadema. Rumours Lissu ni mzima zinaletwa na nyumbu wa Chadema.
Rumours Kuna watu hawalali wanakunywa whisky zinaletwa na chawa. Rumours ni muislamu safi hanywi pombe, havuti bangi zinaletwa na chawa.
Angalia uso ulivyopiromoka Kama SI whisky ni Nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…