TANZIA UPDATE: Makamu wa Rais wa Malawi afariki katika ajali ya Ndege
Kwenye
Wiki iliyopita niliota naona ndege ilipotea njia yake ikashindwa kutua na kusababisha maafa . Ilikuwa inatokea ulaya na nilivyokuwa naitafakari ndoto hiyo asubuhi yake nikagundua Bi tozo alikuwa bado hajarudi kutoka korea. Nikataka nipost humu kukumbusha marubani watakao endesha ndege atakayopanda rais siku ya kurudi Tanzania wahakikishe wameamka vizuri na wana utimamu wa akili lakini nikasita nikajua ni ndoto tu inaweza isiwe na maana .

Niliikemea ndoto hiyo isiwe kweli . Isije kutokea vifo vya marais wawili mfululizo wakiwa madarakani kwa Tanzania. Bi tozo simpendi lakini ni bora aondolewe madarakani kwa kura 2025 , siyo kifo . Na siku iliyofuatia baada ya kuota ndoto hiyo , nikasikia Bi tozo amerudi na amefika salama .

Leo nasikia ndege iliyo mbeba makamu wa rais wa malawi imepotea .
Kwenye second stanza umefanya kosa kubwa sana.
USIRUDIE TENA KUFANYA HAYO MAMBO.
 
Vp kuhusu
Mpaka muda huu inatafutwa haijulikani ilipo na muda wowote Rais wa Malawi anaenda Kuzungumza na Wamalawi.
---
Taarifa kutoka Ofisi ya Rais ya Malawi imesema kuwa ndege iliyokuwa imembeba Makamu wa Rais wa nchi hiyo, Saulos Chilima na watu wengine tisa imetoweka baada ya kuondoka katika mji mkuu Lilongwe, Juni 10, 2024.

Rais Lazarus Chakwera amearifiwa kuhusu tukio hilo na kuamua kufuta ziara yake nchini Bahamas na kuamuru vyombo vyote nchini humo kushiriki katika kuitafuta ndege na kufanya uokoaji.

Tayari juhudi za kuitafuta ndege zimeanza lakini bado haijapatikana tangu kukatika kwa mawasiliano saa nne asubuhi za Malawi.

View attachment 3014002
Saulos Chilima
An aircraft carrying Malawi's Vice-President Saulos Chilima and nine others has gone missing, a statement from the president's office has said.

The Malawi Defense Force aircraft "went off the radar" after it left the capital, Lilongwe, on Monday morning, it added.

The president ordered a search and rescue operation after aviation officials were unable to contact the aircraft.

It was supposed to land at Mzuzu International Airport, in the country’s north, just after 10:00 local time (11:00 BST)
After being informed of the incident, Malawi's President Lazarus Chakwera cancelled his scheduled flight to the Bahamas.

Chanzo: BBC Dira ya Dunia hivi punde.
Ukungu, au kule kuna shida tofauti
 
Nimepita hapo juzi misitu ya chikangawe, ukungu mkubwa ulikuwepo, sasa hapo uwanja wa mzuzu upo barabarani tu na hakuna any complexity si angetua tu, mpaka atoke hapo aanze kuwaza kurudi lilongwe, watu hawataki mchezo, chakwera hakubaliki tena, labda kahisi jamaa anataka kuchukua siti.
 
Mpaka muda huu inatafutwa haijulikani ilipo na muda wowote Rais wa Malawi anaenda Kuzungumza na Wamalawi.
---
Taarifa kutoka Ofisi ya Rais ya Malawi imesema kuwa ndege iliyokuwa imembeba Makamu wa Rais wa nchi hiyo, Saulos Chilima na watu wengine tisa imetoweka baada ya kuondoka katika mji mkuu Lilongwe, Juni 10, 2024.

Rais Lazarus Chakwera amearifiwa kuhusu tukio hilo na kuamua kufuta ziara yake nchini Bahamas na kuamuru vyombo vyote nchini humo kushiriki katika kuitafuta ndege na kufanya uokoaji.

Tayari juhudi za kuitafuta ndege zimeanza lakini bado haijapatikana tangu kukatika kwa mawasiliano saa nne asubuhi za Malawi.

View attachment 3014002
Saulos Chilima
An aircraft carrying Malawi's Vice-President Saulos Chilima and nine others has gone missing, a statement from the president's office has said.

The Malawi Defense Force aircraft "went off the radar" after it left the capital, Lilongwe, on Monday morning, it added.

The president ordered a search and rescue operation after aviation officials were unable to contact the aircraft.

It was supposed to land at Mzuzu International Airport, in the country’s north, just after 10:00 local time (11:00 BST)
After being informed of the incident, Malawi's President Lazarus Chakwera cancelled his scheduled flight to the Bahamas.

Chanzo: BBC Dira ya Dunia hivi punde.
Dah! Hawa Israeli kweli wamelaaniwa.
 
Back
Top Bottom