TANZIA UPDATE: Makamu wa Rais wa Malawi afariki katika ajali ya Ndege
PPolr
Mpaka muda huu inatafutwa haijulikani ilipo na muda wowote Rais wa Malawi anaenda Kuzungumza na Wamalawi.
---
View attachment 3014012
Ajali ya ndege Malawi, makamu wa rais Saulos Chilima na maofisa 9 wasakwa tangu saa 3 asubuhi bila mafanikio

Taarifa ya hivi punde kutoka kwa ofisi ya rais imeeleza ndege iliyokuwa ikibeba makamu wa rais wa Malawi, Saulos Chilima, na wengine tisa imetoweka.

View attachment 3014002
Saulos Chilima
An aircraft carrying Malawi's Vice-President Saulos Chilima and nine others has gone missing, a statement from the president's office has said.

The Malawi Defense Force aircraft "went off the radar" after it left the capital, Lilongwe, on Monday morning, it added.

The president ordered a search and rescue operation after aviation officials were unable to contact the aircraft.

It was supposed to land at Mzuzu International Airport, in the country’s north, just after 10:00 local time (11:00 BST)
After being informed of the incident, Malawi's President Lazarus Chakwera cancelled his scheduled flight to the Bahamas.

Chanzo: BBC Dira ya Dunia hivi punde
Pole kwao
 
Kwa Lugha ya Kinjagu ( Kijasusi ) hapa tunafupisha tu na kusema Mission Accomplished na sasa Boss Mkuu atapumua.
Inawezekana sababu jamaa ni kichwa na ni msomi,mara ya kwanza aliteuliwa na Peter wa muthalika kuwa makamu wake akitokea ktk kampuni ya Airtel lakini wakashindwana na yeye akaanzisha chama akiwa madarakani,katiba ya malawi nzuri sana ikiwa umechaguliwa na wananchi ukigombana na viongozi wa chama hata kama watakufukuza chamani bado unakua kiongozi na unaruhusiwa kujiunga na chama kingine sio kama hapa ukivuliwa chamani unapoteza kila kitu.
 
huku mbezi wanasaidia sana kulinda ndoa za watu wakija kufua mama hayupo mashallah viwili vya fasta hukosi
Wanachoniboa hawajui Kukata Viuno halafu Mbunye zao hazina Ladha sema huwa tunaona bora Tuwabandue tu kutoa Ugwadu kuliko Kupiga Nyeto ambako tumekatazwa kwakuwa tunawapoteza Kimakusudi Viongozi wa baadae wa Afrika na Dunia.
 
Screenshot_20240610_212717_Edge.jpg
 
Wazungu bwana wako vizuri.wanasema ilimaisha yaendelee lazima Dunia isitulie.mkiwa na uongozi unaojitambua,wata wezesha wapinzani kwa gharama zozote ilikutikisa serikali,

Serikali ikiluka hicho kikwazo basi wanakuja na mbinu ya kugawa pesa,kwa makundi ya hovyo ya poteze amani.

Ilikutawala kondoo lazima umpoteze mchunga kondoo.
 
Back
Top Bottom