Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bi tozo simpendi lakini ni bora aondolewe madarakani kwa kura 2025 , siyo kifo
Eti Bi Tozo. Huyo ni rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi yote nchini. Put some respec on her name please!Wiki iliyopita niliota naona ndege ilipotea njia yake ikashindwa kutua na kusababisha maafa . Ilikuwa inatokea ulaya na nilivyokuwa naitafakari ndoto hiyo asubuhi yake nikagundua Bi tozo alikuwa bado hajarudi kutoka korea. Nikataka nipost humu kukumbusha marubani watakao endesha ndege atakayopanda rais siku ya kurudi Tanzania wahakikishe wameamka vizuri na wana utimamu wa akili lakini nikasita nikajua ni ndoto tu inaweza isiwe na maana .
Niliikemea ndoto hiyo isiwe kweli . Isije kutokea vifo vya marais wawili mfululizo wakiwa madarakani kwa Tanzania. Bi tozo simpendi lakini ni bora aondolewe madarakani kwa kura 2025 , siyo kifo . Na siku iliyofuatia baada ya kuota ndoto hiyo , nikasikia Bi tozo amerudi na amefika salama .
Leo nasikia ndege iliyo mbeba makamu wa rais wa malawi imepotea .
Tuna Cha kujifunza hapaMpaka muda huu inatafutwa haijulikani ilipo na muda wowote Rais wa Malawi anaenda Kuzungumza na Wamalawi.
---
Ajali ya ndege Malawi, makamu wa rais Saulos Chilima na maofisa 9 wasakwa tangu saa 3 asubuhi bila mafanikio
Taarifa ya hivi punde kutoka kwa ofisi ya rais imeeleza ndege iliyokuwa ikibeba makamu wa rais wa Malawi, Saulos Chilima, na wengine tisa imetoweka.
---
An aircraft carrying Malawi's Vice-President Saulos Chilima and nine others has gone missing, a statement from the president's office has said.
The Malawi Defense Force aircraft "went off the radar" after it left the capital, Lilongwe, on Monday morning, it added.
The president ordered a search and rescue operation after aviation officials were unable to contact the aircraft.
It was supposed to land at Mzuzu International Airport, in the country’s north, just after 10:00 local time (11:00 BST)
After being informed of the incident, Malawi's President Lazarus Chakwera cancelled his scheduled flight to the Bahamas.
Chanzo: BBC Dira ya Dunia hivi punde.
Kwa Israeli Mtoa Roho.Alikuwa anaenda wapi naye
Ova
Yaani Ndege iwe Futi 40,000 Usawa wa Bahari halafu ipotee au ipate Ajali upone? Akipona 'naukweka' mubashara Kampala hadi Dar es Salaam.Hapo biashara imeisha.
Kuwa tupendelee sana kupanda Dala Dala au Treni pale tunapotaka Kusafiri kwa Mizunguko yetu mbalimbali duniani au?Tuna Cha kujifunza gapa
Nilipokuwa nakaa Kawe nilikuwa natoa Ugwadu wangu Tukuka Kwao pale Mademu zangu wote wakisema Wanablidi..aeneo ya mbezi beach wamejazana kama wote kilanyumbaa
Kwa Lugha ya Kinjagu ( Kijasusi ) hapa tunafupisha tu na kusema Mission Accomplished na sasa Boss Mkuu atapumua.Katika makubaliano waliyoingia huyu Rais wa sasa Chakwera na Huyo makamu wa Rais Chilima ni kwamba miaka 5 ataongoza Rais Chakwera na miaka 5 itakayobaki itakua ya Makamu wa Fais Chilima.
Kumbukeni Rais na makamu wake wanatoka vyama tofauti ila waliungana ili wakiondoe chama tawala cha Rais wa zamani aitwae muthalika.
Mpwa, wana Mtaa wao unaitwa unyasani, hapo Rainbow,.aeneo ya mbezi beach wamejazana kama wote kilanyumbaa
How do we call it?Hivi ni plane au chopper?
Mpaka muda huu inatafutwa haijulikani ilipo na muda wowote Rais wa Malawi anaenda Kuzungumza na Wamalawi.
---
View attachment 3014012
Ajali ya ndege Malawi, makamu wa rais Saulos Chilima na maofisa 9 wasakwa tangu saa 3 asubuhi bila mafanikio
Taarifa ya hivi punde kutoka kwa ofisi ya rais imeeleza ndege iliyokuwa ikibeba makamu wa rais wa Malawi, Saulos Chilima, na wengine tisa imetoweka.
An aircraft carrying Malawi's Vice-President Saulos Chilima and nine others has gone missing, a statement from the president's office has said.
The Malawi Defense Force aircraft "went off the radar" after it left the capital, Lilongwe, on Monday morning, it added.
The president ordered a search and rescue operation after aviation officials were unable to contact the aircraft.
It was supposed to land at Mzuzu International Airport, in the country’s north, just after 10:00 local time (11:00 BST)
After being informed of the incident, Malawi's President Lazarus Chakwera cancelled his scheduled flight to the Bahamas.
Chanzo: BBC Dira ya Dunia hivi punde.
Ikiwa amesikia unadhani kifo kipo angani tuHuku kwetu tuendelee kusali,yule anayekuaga angani Kila siku kwenda kusainisha mikataba,amesikia hii habari?