TANZIA UPDATE: Makamu wa Rais wa Malawi afariki katika ajali ya Ndege
Mpaka muda huu inatafutwa haijulikani ilipo na muda wowote Rais wa Malawi anaenda Kuzungumza na Wamalawi.
---

Ajali ya ndege Malawi, makamu wa rais Saulos Chilima na maofisa 9 wasakwa tangu saa 3 asubuhi bila mafanikio

Taarifa ya hivi punde kutoka kwa ofisi ya rais imeeleza ndege iliyokuwa ikibeba makamu wa rais wa Malawi, Saulos Chilima, na wengine tisa imetoweka.
---

An aircraft carrying Malawi's Vice-President Saulos Chilima and nine others has gone missing, a statement from the president's office has said.

The Malawi Defense Force aircraft "went off the radar" after it left the capital, Lilongwe, on Monday morning, it added.

The president ordered a search and rescue operation after aviation officials were unable to contact the aircraft.
It was supposed to land at Mzuzu International Airport, in the country’s north, just after 10:00 local time (11:00 BST)
After being informed of the incident, Malawi's President Lazarus Chakwera cancelled his scheduled flight to the Bahamas.

Chanzo: BBC Dira ya Dunia hivi punde.
Mtu smart kichwani akiwa tishio njia sahihi ya ku-deal nae ni kukubali kakushinda.
 
Wiki iliyopita niliota naona ndege ilipotea njia yake ikashindwa kutua na kusababisha maafa . Ilikuwa inatokea ulaya na nilivyokuwa naitafakari ndoto hiyo asubuhi yake nikagundua Bi tozo alikuwa bado hajarudi kutoka korea. Nikataka nipost humu kukumbusha marubani watakao endesha ndege atakayopanda rais siku ya kurudi Tanzania wahakikishe wameamka vizuri na wana utimamu wa akili lakini nikasita nikajua ni ndoto tu inaweza isiwe na maana .

Niliikemea ndoto hiyo isiwe kweli . Isije kutokea vifo vya marais wawili mfululizo wakiwa madarakani kwa Tanzania. Bi tozo simpendi lakini ni bora aondolewe madarakani kwa kura 2025 , siyo kifo . Na siku iliyofuatia baada ya kuota ndoto hiyo , nikasikia Bi tozo amerudi na amefika salama .

Leo nasikia ndege iliyo mbeba makamu wa rais wa malawi imepotea .
 
Ndege ya Jeshi la Ulinzi la Malawi iliyokuwa imembeba Makamu wa Rais wa nchi hiyo, Saulos Chilima na wengine tisa imetoweka baada ya kuondoka Mji mkuu, Lilongwe asubuhi ya leo.

Rais wa Malawi, Lazarus Chakwera ameamuru operesheni ya utafutaji na uokoaji baada ya maafisa wa anga kushindwa kuwasiliana na ndege hiyo.

Swahili times
 
Attachments

  • IMG-20240610-WA0051.jpg
    IMG-20240610-WA0051.jpg
    225.2 KB · Views: 2

Back
Top Bottom