Update Mbali mbali za kazi Ambazo ni Skilled na Unskilled

Update Mbali mbali za kazi Ambazo ni Skilled na Unskilled

Hii ya leo TAREHE 26/09/205
KWAHIYO UKIONA HIZI COMMENT WEEK MOJA BAADA UJUE NAFASI HIZO HAZIPO TENA

AHSANTE
 
Duka la simu
Location kariakoo
Mshahara 300k
Vigezo
Uwe na NIDA
Uwe na wadhamini
Usikae mbali na katiakoo
Au uwe unatumia gari moja
Usafi muonekano muhimu
Muda wa kazi saa 1:30 kuingia kutoka saa 12 jioni
Ajent fee 150k
Kazi hii j3 asubuh saa 4 unahitajika
 
Restaurant
Location kariakoo
Mshahara 240k
Wadada 2 nafasi ya kuhudumia
Ajent fee laki moja fomu 30k
 
Boss wa duka la viatu kafunguwa duka jengine anataka watu 3 wadada 2 mkaka mmoja anataka watu ambao wamechangamka
Angalau elimu four wageni wengi sana karikaoo utaulizwa bidhaa unatowa macho tu hujui lugha gongangana mshahara 250k kula nauli kwa boss ajent fee 150k
Wanahitajika kesho
 
WANAHITAJIKA HARAKA

📢 NAFASI ZA KAZI – USAFI (20)
📍 Eneo: Mbezi Beach
👥 Jinsia: Wote wanaruhusiwa
💰 Mshahara: TZS 200,000/=

✅ Vigezo vya Mwombaji:
•Awe na nidhamu na uaminifu
•Awe tayari kufanya kazi kwa muda mrefu akiwa kazini
•Awe mchangamfu na mwenye uwezo wa kuwasiliana vizuri
•Awe na afya njema kwa kazi za usafi
 
Hi team

I'm looking for an experienced receptionist based in Arusha

If you know one please text me on Whatsapp

No calls 📞 please

Only WhatsApp
+255 787 800 595
 
🚛 TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI – MADEREVA WA MALORI (Nafasi 10) 🚛

Kampuni inatangaza nafasi 10 za kazi kwa ajili ya Madereva wa Malori/Gari la Mizigo kufanya kazi ndani ya Mkoa wa Dar es Salaam.
Kuhusu mshahara mtaelewana na boss kazi ipo chini ya ajent
 
📌Nafasi:Counter
💵Mshahara:250,000
📌Nafasi:Wahudumu
💵Mshahara:150,000
📍Eneo la kazi: Kigamboni
🔹Muombaji anatakiwa kuwa na nidhamu,uwajibikaju na uzoefu/ujuzi wa kazi
NB:Malipo ya agency fee yatahusika
 
Hii ya leo TAREHE 26/09/205
KWAHIYO UKIONA HIZI COMMENT WEEK MOJA BAADA UJUE NAFASI HIZO HAZIPO TENA

AHSANTE
 
WANAHITAJIKA HARAKA

📢 NAFASI ZA KAZI – USAFI (20)
📍 Eneo: Mbezi Beach
👥 Jinsia: Wote wanaruhusiwa
💰 Mshahara: TZS 200,000/=

✅ Vigezo vya Mwombaji:
•Awe na nidhamu na uaminifu
•Awe tayari kufanya kazi kwa muda mrefu akiwa kazini
•Awe mchangamfu na mwenye uwezo wa kuwasiliana vizuri
•Awe na afya njema kwa kazi za usafi
Kuna dogo langu nataka nimuunge mkuu ila yuko mbali vipi akija atazikuta
 
Back
Top Bottom