Update Mbali mbali za kazi Ambazo ni Skilled na Unskilled

Uongozi wa JamiiForums Moderator mmekaa kimya mtu anatoza Agent fee wazi wazi kwa ajili ya kazi ambayo mtu lazima akafanye interview na hana uhakika wa kipata ? Hii ni Rushwa kama si utapeli, tunaomba vitu kama hivi visiwe entertained wanaolizwa ni wengi kuliko waliopata kufaidika.
 
Ndo maana nikasema kwa tamaa za kupenda hela ngoja atapigwa pumbu mda simrefu
 
Back
Top Bottom