mabutu1835
JF-Expert Member
- Nov 25, 2018
- 909
- 1,425
Kati ya Kingwendu na Muhogo mchungu nani anapiga k vant pasipo kuchanganya au Kirikuu cha moto.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umemaliza mkuu nadhani wengi walikuwa hawajui uthamani wa kinachomwagwa hata wangemwaga kumi Mimi sioni shida maana thamani itakuwa haijafika hata Lita mbili za mafuta ya VXHakuna Sheria inayosema ukimwagiana maji ya drip ya 250tsh utafungwa au kufukuzwa kazi, nashauri Serikali ijitenge na shauri hili, maana litawapunguzia heshima, watawasimamishwa au kuwafukuzwa kazi mwishowe watafungua kesi na kushinda na watadai fidia, kwanza hakuna ushahidi wa yale maji ndani yalikuwa ya drip! Sawa na wasanii wanaoigiza wanakunywa pombe kumbe hajawahi kuonja na ndani ya chupa ameweka juice!
Hii tabia ya watanzania kushabikia matatizo au anguko la watu au kuchukia watu wenye pesa na kazi ni kubwa sana yaani mpaka unajiuliza shida iko wapi.Umemaliza mkuu nadhani wengi walikuwa hawajui uthamani wa kinachomwagwa hata wangemwaga kumi Mimi sioni shida maana thamani itakuwa haijafika hata Lita mbili za mafuta ya VX