UPDATE yangu kuhusu Tetesi za Rais wa Rwanda Paul Kagame kuugua na kufa huko Munich Germany

Anayefurahia kufa mwenzake ni mgonjwa wa akili kama wengine!Maana wote tutakufa kila mtu kwa wakati wake.
 
Anayefurahia kufa mwenzake ni mgonjwa wa akili kama wengine!Maana wote tutakufa kila mtu kwa wakati wake.
Fanya hivi mwizi kakukata mapanga alafu umemuona anapigwa nani mgonjwa wa akili kati ya wewe na wanaompiga
 
Mtajianika tu woote

Acha mwezi mchanga uandame
 
Katupa hela za udhamini Ulaya huko kumbe hata hospital za kumtibu Rwanda hakuna kajenga jela za kutosha ili wakae wapinzani wake kwa jinsi alivyosumbua na M23 yake hii ni kama Abacha tu..
 
Kajamba nani anawasiliana na maofisa wa rwanda🚮.kadanganye mamburula wenzio kwenye vijiwe vya kahawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…