Updated List: Haya ndio makabila yenye wasomi zaidi Tanzania

Si kweli,pitia sensa ya watu kwenye mikoa ya wasukuma,tufanye wakazi wote humo wasukuma,wanafika 20m!?..20m ni mikoa minne iliyosheheni Kama dar...simiyu,shinyang,geita,mwanza hazifikishi watu 20m
Nimerekebisha ni milioni 10 na ushehe, nilikosea ku type

katika kila watz 6 kuna msukuma 1
 
Sema bn wachaga wapo smart sana kwenye kubebana unaweza Kuta padre mchaga wa shirika flan akapewa chance ya kusaidia vijana kumi jimboni mwake, akawachukua wachaga wenzake hata ambao hawajui mlango wa kanisa 😄
Sijui wanalalamika nini watu wa makabila mengine kila kitu kiko wazi ukipata chansi shika mkono nduguzo.....

😂😂😂😂😂🙌🙌🙌ishara na sala muhimu wanazijua hivyo hawatomuanguasha kama kuna interview.
 
Si kweli,pitia sensa ya watu kwenye mikoa ya wasukuma,tufanye wakazi wote humo wasukuma,wanafika 20m!?..20m ni mikoa minne iliyosheheni Kama dar...simiyu,shinyang,geita,mwanza hazifikishi watu 20m
Umesahau
Tabora,
Katavi,
Rukwa,
Morogoro,
Mbeya


Wamesambaa karibu kila kona ya nchi leta hiyo taarifa yako ya sensa.

Wasukuma ndio kabila kubwa Tanzania.
 
Sema bn wachaga wapo smart sana kwenye kubebana unaweza Kuta padre mchaga wa shirika flan akapewa chance ya kusaidia vijana kumi jimboni mwake, akawachukua wachaga wenzake hata ambao hawajui mlango wa kanisa [emoji1]
Kwa kweli, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wamatengo wako nyuma ya wanyakyusa kwa ukandaa huu wa juu kusini.
 
Umesahau
Tabora,
Katavi,
Rukwa,
Morogoro,
Mbeya


Wamesambaa karibu kila kona ya nchi leta hiyo taarifa yako ya sensa.

Wasukuma ndio kabila kubwa Tanzania.
Hao waliosambaa wafidie na makabila mengine wanaoishi mwanza,simiyu,geita,shinyanga..tufanye hiyo mikoa yao wote ni wasukuma,hawafiki 20m,tabora Ina watu 3m+, majority wanyamwezi,moro wangapi?
 
Mngoni usimkabidhi Wife hatofika salama,..ila pesa zinafika🤭🤭
 
Kwahyo sisi wakinga,wahehe mnatuchukuliaje kielimu lakini😅😅😅
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nitegemee connection JF? nilishavuka hizo level
Si ndo watu wanavotishianaga humu ooh! Ukiomba msaada watu wanapitia threads na michango yako humu! Yaan niache kutetea nyeto & kupinga ndoa kisa kupata connection 🤣🤣🤣asaalaleeeee!
 
Pia kuna kabila dogo la Wamwera toka Lindi, Ruangwa na Nachingwea.....hawa nao wamesoma sana na si kabila la maringo hata akisoma hapendi kujionyesha kama Muhaya kwa kujifanya anaongea Kiingereza kibovu ili watu wajuwe kakariri lugha za watu, wataongea Kiingereza tu kama itabidi afanye hivyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…