Updated List: Haya ndio makabila yenye wasomi zaidi Tanzania

Hawa wasomi ndio wanatuletea mgao wa umeme, elimu ya namna hii haina tija zaidi ya sifa za kipuuzi
 
Darasa la saba hawezi kuendesha Tanesco au taasisi yeyote ya serikali, ni wasomi hao hao mnaosema ndio waongozaji
Shot callers ni politicians mkuu, wasomi wa kwenye vitengo ni watekelezaji.

Lakini pia hao machawa nao wanapewa sana teuzi bila kujali elimu.
 
Ningeshangaa sana tena sana km nngewaona ndugu zangu wamakonde hapo..
 
Shot callers ni politicians mkuu, wasomi wa kwenye vitengo ni watekelezaji.

Lakini pia hao machawa nao wanapewa sana teuzi bila kujali elimu.
Kama wanashiriki kutekeleza uharibifu sasa elimu yao inakazi gani? bora mimi la saba B watu watajua uwezo wangu wa kufikiri mdogo
 
Wachaga waliosoma sana ni wale wa Zamani; idadi ya wachaga wasomi siku hizi imepungua sana, nadhani ni kabila la nne au la tano kwa wasomi leo.
 
Wachaga waliosoma sana ni wale wa Zamani; idadi ya wachaga wasomi siku hizi imepungua sana, nadhani ni kabila la nne au la tano kwa wasomi leo.
Mkuu usijizime data, nakukumbusha tu kwamba mkoa wa Kilimanjaro pamoja na eneo lake dogo ndio mkoa unaoongoza kwa shule nyingi zaidi nchini, na wanaofaulu kwenda vyuoni ni wengi pia,
 
Jwenye hio list wengi wamesaidiwa na mkoloni tangu zamani kasoro msukuma, Msukuma angewezeshwa ange dominate
Magu aliwabeba sana aliwapa vyeo wakapiga hela. Aliwapa kipaumbele cha scholarships za nje ya nchi. Wachache ndio waliothamini mchango wake na kufanya kweli. Wengi walibweteka wakijua washachukua nchi.
 
Magu ilibidi aweke chuo kikubwa Mwanza kiwe na hadhi ya Udsm kiitwe University of Mwanza, hizo scholarships ni za muda tu, kaondoka nazo zimekufa,

Haiingii akilini jiji la pili kwa ukubwa hakuna chuo kikuu chenye makao yake makuu Mwanza,
 
[emoji419][emoji419][emoji375]
 
Hivi hawa Bwana Utam FaizaFoxy na wenzao ni kabila gani, mbona sijaona makabila ya Pwani, Muarabu aliwaharibu sana hao.
elimu ipo chini hayo maeneo ila ina affect zaidi wale wa upande bara, kwa visiwani wanakula bata kwa mrija wa muungano, ukitokea visiwani kuna quota system inawabeba kielimu na hata kupata ajira za bara
 
Magu ilibidi aweke chuo kikubwa Mwanza kiwe na hadhi ya Udsm kiitwe University of Mwanza, hizo scholarships ni za muda tu, kaondoka nazo zimekufa,

Haiingii akilini jiji la pili kwa ukubwa hakuna chuo kikuu chenye makao yake makuu Mwanza,
Kuna kitu kinaitwa quality over quantity kuna familia zina watoto wachache lakini wako vyema mbaya. Lakini kuna matajiri wana watoto wanajaza Costa na wote ni majanga. Hii haiendani na kabila ni kuzaa kulingana na uwezo wa kulea.
 
Soma na Peleka watoto shule uache makasiriko ya reja reja. Hakuna mtu anapambana ili alishe familia ya mtu mwingine, charity begins at home. Hata wewe ukipata shavu utaanza na watu wako wa Karibu Kabla ya watu wa nje.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…