Updated List: Haya ndio makabila yenye wasomi zaidi Tanzania

Soma na Peleka watoto shule uache makasiriko ya reja reja. Hakuna mtu anapambana ili alishe familia ya mtu mwingine, charity begins at home. Hata wewe ukipata shavu utaanza na watu wako wa Karibu Kabla ya watu wa nje.
Hali ingekuwa mbaya sana zaidi ya hapa, Tumshukuru sana Nyerere alijitahidi sana kupunguza ukabila, ila ukweli ni kwamba bado kuna chembechembe za watu kubebana kikabila
 
Mkuu usijizime data, nakukumbusha tu kwamba mkoa wa Kilimanjaro pamoja na eneo lake dogo ndio mkoa unaoongoza kwa shule nyingi zaidi nchini, na wanaofaulu kwenda vyuoni ni wengi pia,
Usikariri historia. Wingi wa shule siyo wingi wa wasomi nchini labda kama unahesabu form 4 na form 6 pia kama usomi, lakini iwapo utachukulia usomi halisi kuwa ni professionals wenye digrii wachaga siyo wengi kama zamani. Ukitaka sample ndogo tu ni kukusanya prospectus za vyuo vyote nchini uangalie walimu wake wengi wanatoka makabila gani. Halafu pitia mahospitali yote nchini ya binafsi na ya serikali uangalia madaktari wengi wanatoka makabila gani, mwishowe pitia makampuni yote ya sheria nchini na mahakama zote unagalie wanasheria wengi wanatoka makabila gani. Usisahahu pia kwenda ERB uchukue sensa za mainjinia huko uone wengi wanatoka makabila yapi. Vile vile pitia pia NBAA uangalie CPA wengi wanatoka makabila yapi.

Baada ya kukusanya data hizo ndipo utoe conclusion.
 
Sijawaona WAPARE kwenye list yako
1. Wachaga
2. Wahaya
3. Wanyakyusa
4. Wasukuma
5. Wapare
hio list uliyoiweka bila wakerewe haijakamilika, wakerewe ndio wenye phds nyingi zaidi nchini

Wapare nao ni wasomi ila kwa suala la kuwa na share kubwa ya wasomi, wamepitwa sana na hayo top 5 Daraja A.

Wapare mnaongozea daraja B lenye wamasai, wahehe, wakurya, n.k.
 
ni uzi mzuri, ila kwa terms and conditions za JF sitoshangaa moderaters wakiufuta huko mbeleni.

hii itategemea na hali ya hewa ya uzi weyewe kupitia emotions za wachangia mada hususan ndg zangu wa pwani ya tz.

ngoja tusibiri bibie faiza na kaka yake riz waamke.
 
Mbona huja waweka watu wa kizimkazi ?
 
Simsupport kwa takwimu zake ila hujamuelewa. Wewe unaongelea ajira zaidi, yeye anaongelea usomi.
 
Kusoma ni vizuri lakin kama huna emotional za Kaz au biashara utabak kuitwa Dr na Prof tu.
 
Wamelisaidiaje Taifa letu,Hua naumia sana kuona Tz maskini. Miundombinu mibovu (Barabara,reli nk) wakati limesheheni human resources na natural resources zakutoshe Mungu kabariki.
 
I wish ningekua Rais,mafisadi na wakwamishaji wangejutaa! Miaka 60 Bado nchi imejaa Barabara za Vumbii.
 
Simsupport kwa takwimu zake ila hujamuelewa. Wewe unaongelea ajira zaidi, yeye anaongelea usomi.
Na wewe labda pia hukuinielewa vizuri. Hizo sources za data nilizotoa ndiyo statistical representation nzuri ya distribution ya wasomi; siyo kuwa wasomi wote wanafanya kazi hizo, wengine huenda wana digrii zao lakini wanafanya shughuli zisizohusiana kabsa na digrii zao kwa mfano wanauza madini au ni wakulima au wqana maduka yao, lakini distribution nzuri ya wasomi itaonyeshwa na presense yao katika fields hizo nilzosema.

Idadi ya shule za sekondari Kilimanjaro ilikuwa kipimo kizuri zamani lakini siyo siku hizi. Angalia jinsi nchi nzima ilivyo na shule za sekodari, kanda ya ziwa siku hizi ina shule nyingi sana leo.

 
Hivi hawa Bwana Utam FaizaFoxy na wenzao ni kabila gani, mbona sijaona makabila ya Pwani, Muarabu aliwaharibu sana hao.
Baba zanzibar mama mombasa halaf tuna akili mpaka zinamwagika
Sisi kwetu wasiokua na akili basi ndio wanafanana na wewe
Usinitag kwenye mambo ya ajabu mdogo wangu 🤨
 
Hata huyo alikuwa muizi tu mbinafsi umimi
 
We bwege unawashaga na ukabila. Tuambie hiyo sensa ilifanyika lini. Mwaka mpya unaanza na post ya kipumbavu hivi? Utaumaliza mwaka kufanya maupumbavu tu we kenge.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…