TheBuilder
JF-Expert Member
- Apr 21, 2014
- 237
- 212
Aisha unawaona hao...Hahaha dah
Ndiyo.....vip weweWe umefunga?
Lazima utakua jobless na unaishi kwa shemeji.Mtoto kanimalizia MB zangu huyu...haha usku kucha nahaha inst,snapchart kumsubiria looh
Unakuta mtu anamtoto hampi support kama anavojidai kumsupport mtoto wa diamondSwali zuri sana hilo. Pumbavu zao kabisa.
Kama wewe nilivyokulipa kwa kuniquotes au?Unatka quotes na ww... Kwani utalipwa??
[emoji2] [emoji2] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57]hujazuiwa na wewe kama upo radhi post wako! watu washabikie
Si kila maharage ni ya Mbeya wewe,.... acha kukariri.Kama wewe nilivyokulipa kwa kuniquotes au?
[emoji2] [emoji2] [emoji2]Wakikujibu naomba unitag.
Kwahizi akili zako nakupa poleHata ukitukana haitasaidia. hamna mtu anaesujudiwa zaidi ya Mungu pekee.
Familia hii imetokea kupendwa tu.
Sikiliza nyimbo ya peter msechu ya nyota haswa kwenye kibwagizo ndio utaelewa.
Hao ndo wale wakiona mzungu wanamshobokea.Unakuta mtu anamtoto hampi support kama anavojidai kumsupport mtoto wa diamond
Sasa watoto 5 tu mnaona ishu jamani serious????hahahaha sio kihivyo lakin
pole eeeh "He must be cute"[emoji2] [emoji2] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57]
Team kariakoo ni ninyi UVCCM.Naona team Kariakoo mnaumia hiviii