Updates: Diamond Platnumz na Zari wapata mtoto wa kiume

Updates: Diamond Platnumz na Zari wapata mtoto wa kiume

Japo mimi siyo shabiki wa Zari lakini namkubali, kwa zama hizi ambazo wanawake hawataki kujifungua kwa njia ya kawaida au kutozaa kabisa lakini huyu mama kwake haoni tatizo. Wanawake wa aina hii nawaheshimu sana.
 
Yaan kuzaliwa kizazi cha digitali raha sana.mi kipindi nakua mtoto akizaliwa alikuwa anabembwa karibia na nusu ya kijiji wakati hana hata wiki moja lakini hawa wasasahivi kuwaona hadi dau [emoji31] [emoji31] [emoji31] [emoji31] [emoji31]
 
Mtoto kanimalizia MB zangu huyu...haha usku kucha nahaha inst,snapchart kumsubiria looh
Lazima utakua jobless na unaishi kwa shemeji.
Usipaniki lkn ndio maisha..
 
Hata ukitukana haitasaidia. hamna mtu anaesujudiwa zaidi ya Mungu pekee.
Familia hii imetokea kupendwa tu.

Sikiliza nyimbo ya peter msechu ya nyota haswa kwenye kibwagizo ndio utaelewa.
Kwahizi akili zako nakupa pole
 
Back
Top Bottom