Updates: Diamond Platnumz na Zari wapata mtoto wa kiume

Updates: Diamond Platnumz na Zari wapata mtoto wa kiume

Wakunga watakao mzalisha wafanye namna waweke GAVANA au KUFUNGA kabisa kizazi sasa.
Hii hobby ya huyu dada ni hatari sasa.
 
Sijui atasukuma au atafanyiwa upasuaji!
Siku hizi wanawake wengi wanaomba kufanyiwa upasuaji atolewe mtoto, eti hawataki kuzaa kwa kupitia K zao. halafu anakuwa tayari amefanyiwa ultrasound anajua atazaa mtoto wa jinsi ipi:
Bila aibu utamsikia anasema " JUMATANO NATEGEMEA KUPATA BABY GIRL"
utandawazi utandawazi
 
Haha kudeka mwanzo mwisho nyie wabongo ..mara nataka miwa..mara chokleti mara chips kavu mara mishkaki mara asali mara pipi..mara sitak kusikia harufu yako yan full drama ..mara uwiii kiuno ... lakin bibie wala yeye mazoez na tizi utadhan yuko depo vile anajiandaa kwenda vitani duuuh namuangaliaga tu simmalizi ze boss ze ledi
Sio kudeka wengine mimba zinatupelekaa kinoma kula ni tatizo baadhi ya vyakula ndio hatugusii kbs ,sio sir namnyooshea mikono zari
 
Mungu amjalie.
Anasitahili nishani. Mwanamke jasiri.
 
Freemason siyo imani ni organization ambayo ipo ila watanzania wengi tunaielewa ndivyo sivyo! Tafuta vitabu mkuu
Kwanini unaamini vitabu?

Vitabu haviwezi kuandika vitu vya kufikirika?
 
Nafikiri kwa idadi alisema atamzalia Nasewb bado mmoja. Hivyo mwakani tarehe kama hizi atakuwa leba tena tunmuimbea afikie malengo yake.
 
Zaaa dada zaa mwaego , raha ta watoto wakishakuwa vijana ndo usiseme
 
Back
Top Bottom