MENGELENI KWETU
JF-Expert Member
- May 8, 2013
- 9,552
- 24,166
Wakunga watakao mzalisha wafanye namna waweke GAVANA au KUFUNGA kabisa kizazi sasa.
Hii hobby ya huyu dada ni hatari sasa.
Hii hobby ya huyu dada ni hatari sasa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hanchback usijisumbue ,wabongo usimwambie asome msimulie tu hapo atakuelewa.Freemason siyo imani ni organization ambayo ipo ila watanzania wengi tunaielewa ndivyo sivyo! Tafuta vitabu mkuu
hahahaha mwanamke ana spare tyre ya k chaaaaMh! Sio kwa kuzaa huko jamani khaaa!
hahahaha sio kihivyo lakinMkataba na leba kivipi, kizazi anacho acha azae asee....
Afunge tena kizazi ? Wacha afyatueKisha afunge kizazi sasa loh! Hobby gani hii
Sio kudeka wengine mimba zinatupelekaa kinoma kula ni tatizo baadhi ya vyakula ndio hatugusii kbs ,sio sir namnyooshea mikono zariHaha kudeka mwanzo mwisho nyie wabongo ..mara nataka miwa..mara chokleti mara chips kavu mara mishkaki mara asali mara pipi..mara sitak kusikia harufu yako yan full drama ..mara uwiii kiuno ... lakin bibie wala yeye mazoez na tizi utadhan yuko depo vile anajiandaa kwenda vitani duuuh namuangaliaga tu simmalizi ze boss ze ledi
Kisha afunge kizazi sasa loh! Hobby gani hii
Kwanini unaamini vitabu?Freemason siyo imani ni organization ambayo ipo ila watanzania wengi tunaielewa ndivyo sivyo! Tafuta vitabu mkuu
Una uhakika mimi ni mbongo?Hanchback usijisumbue ,wabongo usimwambie asome msimulie tu hapo atakuelewa.
Dada vip tena, mbona hasira kali hivoMama'ko angekuwa nao usingezaliwa kwa kisu.
Hasidi mkubwa wee.
Mshirikina utamjuwa tu kwa kauli zake za uhasidi.
Dada dada dada Vip jaman? UwiiiiiiiieeeeKisa cha kumhusudu mwana wa mwenzio?
Hasbuna Allahu wa neema L'wakil.
Kafunge chako kama ni rahisi.
Punguani wahed.
mama zetu walizaa hadi makinda 12 wacha aijaze dunia sasa ulitaka dai awe na kido 1 tu? @ least wawili si mbayaNaona hana ule mshipa wa uchungu