Updates: Diamond Platnumz na Zari wapata mtoto wa kiume

Updates: Diamond Platnumz na Zari wapata mtoto wa kiume

Watu wanatoka povu hata kwa kiumbe kisichokua na hatia kisa mafanikio ya mzazi kwani ukipita kimya bila kucomment kuna shida gani at least ufiche hizo chuki zako??
Hongereni wazazi wa Tiffah mtoto ni baraka Mwenyezi Mungu awakuzie Amina.
 
cute.jpg
 
Yaan kuzaliwa kizazi cha digitali raha sana.mi kipindi nakua mtoto akizaliwa alikuwa anabembwa karibia na nusu ya kijiji wakati hana hata wiki moja lakini hawa wasasahivi kuwaona hadi dau [emoji31] [emoji31] [emoji31] [emoji31] [emoji31]
Hahaha
 
Huyo mtoto au picha za vidole na miguu ilofungwa povu linakutoka Kwa kazi na juhudi Za watu
Hahaha povu nilitoe wapi hahahha
nimejibu hoja kwa hoja hapo
hizo ni chuki za wazi ...unawezaje kuish maisha haya kwa kumchukia hata kiumbe kisicho na hatia dduh kama mtoto mchanga..duuh pole mwana
 
Back
Top Bottom