Tuyuku
JF-Expert Member
- Jan 6, 2011
- 3,292
- 1,927
Waoane mara mbili?Kheri iwaangazie,waoane sasa..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Waoane mara mbili?Kheri iwaangazie,waoane sasa..
Na wewe ni wale wale.Hata ukitukana haitasaidia. hamna mtu anaesujudiwa zaidi ya Mungu pekee.
Familia hii imetokea kupendwa tu.
Sikiliza nyimbo ya peter msechu ya nyota haswa kwenye kibwagizo ndio utaelewa.
ha haaa haaa panic at your own risk "He must be cute"Hao ndo wale wakiona mzungu wanamshobokea.
Nilikuwa sifahamu kama hawa watu ni mke na mume...shukraniWaoane mara mbili?
Unamchapia mkuu?Kachapiwa
Wako je tumsubirie wap???Mtoto kanimalizia MB zangu huyu...haha usku kucha nahaha inst,snapchart kumsubiria looh
Kitanda hakizai haramuNi kweli mkuu lkn sio hawa wa uzinzi Baraka ni yule wa ndoa
Huyo mtoto au picha za vidole na miguu ilofungwa povu linakutoka Kwa kazi na juhudi Za watuSidhanni kama una mtoto na kama unae sidhani kama utamuita "kitugani"
Safi mkuu kn watu wana povu la omoMkuu hujala......... meza povu hilo ushibe.
Aliyesema sio cute nani? Acha ushambapole eeeh "He must be cute"
Najua Mengine ni ya mbagalaSi kila maharage ni ya Mbeya wewe,.... acha kukariri.
Kichuma kimeokotwa kichochoroniHicho kitu gani
HahahaYaan kuzaliwa kizazi cha digitali raha sana.mi kipindi nakua mtoto akizaliwa alikuwa anabembwa karibia na nusu ya kijiji wakati hana hata wiki moja lakini hawa wasasahivi kuwaona hadi dau [emoji31] [emoji31] [emoji31] [emoji31] [emoji31]
Jipe pole mwenyewe tu miminsina tatizo ni nyie na roho mbaya zenu ...leo ndo mnajua kua watu wanatakiwa wawape sapoti watoto wao na sio wa diamondKwahizi akili zako nakupa pole
Mi nmetoa maoni yangu tu wal usitumie nguv nyingi kunijibu hahahaaNa wewe ni wale wale.
Heheheehe ...kama mtoto tu kiumbe kisichokua na hatia wanapanik hivi ...kwa diamomd/ zari si wanatapika kabisaha haaa haaa panic at your own risk "He must be cute"
Hahaha povu nilitoe wapi hahahhaHuyo mtoto au picha za vidole na miguu ilofungwa povu linakutoka Kwa kazi na juhudi Za watu