Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,138
- 288,731
Mtu duni kama wewe huna la kumfanya Lissu .Asije akarogwa akapanda dreamliner au bombadier tutamsaga meno maana alishangilia zilipokamatwa
Wewe nani unaandika haya? Hata ukiwa NYOKA una nini mbele za Mungu? MTU usieweza hata Kuumba sisimizi????Lemma amekosa nauli.
Kwa Sasa Lissu sio big story, na tumeshajifunza kwa JPM , hatutaki Rais mwenye matatizo ya afya
[emoji3][emoji3][emoji3]umeona mbali sanaHuyu Bwana simuamini Sana Kama anarudi mazima! Utasikia baada ya miezi miwili karudi ubelgiji.
Hawezi kudondoka tenaHuyu Bwana simuamini Sana Kama anarudi mazima! Utasikia baada ya miezi miwili karudi ubelgiji.
Kaja kudai, ila wafuasi hawataki amini hiloHuyu Bwana simuamini Sana Kama anarudi mazima! Utasikia baada ya miezi miwili karudi ubelgiji.
Tanzania ni salama kila atakaye aje! Muhimu ukiwa Tanzania tambua ni dola imara🙏🙏🙏Utukufu wa Mungu ni wa ajabu sana ! Taarifa ya sasa iliyotolewa na Tundu Lissu mwenyewe inaonyesha kwamba Tayari Lissu yupo Uwanja wa Ndege wa Brussels kwa ajili ya kurejea nyumbani...
Kwani anatakiwa awe anakaa wapi?Huyu Bwana simuamini Sana kama anarudi mazima! Utasikia baada ya miezi miwili karudi ubelgiji.
Kwani anachodai siyo Haki yake?Kaja kudai, ila wafuasi hawataki amini hilo
Kilaza kama kilaza ,pamoja na upumbavu wako,ungempa heshima hata ya kuandika jina lake kwa kuanz na herufi kubwa basiOle wake apande ndege za magufuli maana alishangilia zilipokamatwa
DunianiKwani anatakiwa awe anakaa wapi?