Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,138
- 288,731
- Thread starter
- #21
Unamtisha nani ?Tanzania ni salama kila atakaye aje! Muhimu ukiwa Tanzania tambua ni dola imara[emoji120][emoji120][emoji120]
Unamtisha nani ?Tanzania ni salama kila atakaye aje! Muhimu ukiwa Tanzania tambua ni dola imara[emoji120][emoji120][emoji120]
Hahaha.........!Kilaza kama kilaza ,pamoja na upumbavu wako,ungempa heshima hata ya kuandika jina lake kwa kuanz na herufi kubwa basi
Baadhi ya watu, mfano wewe,hudhani Rais ni mtu tajiri sana,ambaye hununua ndege,hujenga barabara n.k kwa pesa yake kutoka mfukoni, hivyo hata katika mikutano mbalimbali,hudiriki kumshukuru Rais sana,kwa ukarimu wake,pale anapotekeleza jambo fulani.Ole wake apande ndege za magufuli maana alishangilia zilipokamatwa
Sasa anarudi mazimaMguu nje mguu ndani
Zimesimamishwa haziruki tena.Asije akarogwa akapanda dreamliner au bombadier tutamsaga meno maana alishangilia zilipokamatwa
Huyo magufuli ana ndege zipi? Si angezikwa nazo chato zingekuwa zake? Chawa wajinga sanaOle wake apande ndege za magufuli maana alishangilia zilipokamatwa
Wewe ndiye Musiba?Asije akarogwa akapanda dreamliner au bombadier tutamsaga meno maana alishangilia zilipokamatwa
Yule Muhutu Mrundi Mwendakuzimu hajawahi kumiliki ndege, kodi za wananchi ndiyo zilinunua ndege hivyo basi ni ndege za wananchi.Ole wake apande ndege za magufuli maana alishangilia zilipokamatwa
Mishoga inachanganyikiwa ujio wa LissuMsaliti wa taifa mwambieni hatujashitakiwa MIGA
kuna kila dalili .Wewe ndiye Musiba?
Kwakuwa Herode kisha kufa,kijana akirudi yuko salama.Huyu Bwana simuamini Sana Kama anarudi mazima! Utasikia baada ya miezi miwili karudi ubelgiji.