UmkhontoweSizwe
Platinum Member
- Dec 19, 2008
- 10,047
- 9,346
Mkuu, anakuja na familia yake, au wao wanabaki nchini kwao?
Magufuli alimiliki Ndege? Punguza ujinga.Ole wake apande ndege za magufuli maana alishangilia zilipokamatwa
Kwani anaomba lift au ananunua tiketi Kwa hela yake?Asije akarogwa akapanda dreamliner au bombadier tutamsaga meno maana alishangilia zilipokamatwa
Asingekuwa big story ungemuandika hapa? Mbona usimuandike baba yako hapa?Lemma amekosa nauli.
Kwa Sasa Lissu sio big story, na tumeshajifunza kwa JPM , hatutaki Rais mwenye matatizo ya afya
Magufuli ana ndege we ulisikia wapi?Ole wake apande ndege za magufuli maana alishangilia zilipokamatwa
Huwa unakuwa lijinga sana.😜😜😜😜😜Msaliti wa taifa mwambieni hatujashitakiwa MIGA
Kwani hizo ndege zipo? Zinaruka kwenda wapi?Asije akarogwa akapanda dreamliner au bombadier tutamsaga meno maana alishangilia zilipokamatwa
Sina uhakika kama utajibiwaMkuu, anakuja na familia yake, au wao wanabaki nchini kwao?
Kumbe Makamanda Mnyika na Pambalu hawana akili pia?Mtu anajiita jina la kisukuma atakuwaje na akili!?
Mtu anakunywa maji ya kisima unategemea atakuwa na akiliMtu duni kama wewe huna la kumfanya Lissu .
Sawa ChawaMsaliti wa taifa mwambieni hatujashitakiwa MIGA
Hukuuliza suali lakni hujibu kwasababu za upumbavu wako uliyojaa kichwani.Msaliti wa taifa mwambieni hatujashitakiwa MIGA
Hata mimi nilishangilia na nitaendelea zitakapokamatwa tena mpaka mlipe madeni ya watu mnayodaiwa.Asije akarogwa akapanda dreamliner au bombadier tutamsaga meno maana alishangilia zilipokamatwa
Asiyekuwa na matatizo ya afya yuko chato huko achezea virungu.Lemma amekosa nauli.
Kwa Sasa Lissu sio big story, na tumeshajifunza kwa JPM , hatutaki Rais mwenye matatizo ya afya