Evelyn Salt
Platinum Member
- Jan 5, 2012
- 78,768
- 172,128
Karibu nyumbani kamanda..... sasahivi home pamekua "home sweet home" corona imesafisha Taifa
Ndege zimakamatwa ulaya haziruki tenaMsaliti wa taifa mwambieni hatujashitakiwa MIGA
Ngoja tuwahi Airport [emoji23]Utukufu wa Mungu ni wa ajabu sana! Taarifa ya sasa iliyotolewa na Tundu Lissu mwenyewe inaonyesha kwamba Tayari Lissu yupo Uwanja wa Ndege wa Brussels kwa ajili ya kurejea nyumbani.
Amesema kwa mujibu wa ratiba ya safari ilivyo, asubuhi atakuwa amefika Addis Ababa, Ethiopia na kwamba baadaye saa 7 na dk 35 atakuwa JK Nyerer Airport DSM.
View attachment 2494582
Tunamtakia safari njema.
[emoji1787][emoji1787]Mtu duni kama wewe huna la kumfanya Lissu .
Atapanda, akipenda na huna cha kumfanya. Na polisi watakuwa tele wa kumlinda.Asije akarogwa akapanda dreamliner au bombadier tutamsaga meno maana alishangilia zilipokamatwa
Yapo ulaya.Mishoga inachanganyikiwa ujio wa Lissu
Nonsense!.Hukuuliza suali lakni hujibu kwasababu za upumbavu wako uliyojaa kichwani.
Alikusalitia nini?
1.5T iliyoibwa na jiwe mbona hukulalamika?
Hizo noha mlizoambiwa mtapewa jee ziko wapi?
Wamuambie pia hatukushtakiwa Miga kama alivyo taka.Leo ni siku ya huzuni mno msaliti wa taifa Lisu mzee wa MIGA anarudi.
Mwambieni asipande ndege zetu maana alishangilia zilipokamatwa
Kajamaa kalikolindwa na Mungu kwa wivu mkubwa! Welcome back the greatest hero of the century. Mtumaini tu Mungu wako ni mwenye uwezo wa !ajabuUtukufu wa Mungu ni wa ajabu sana! Taarifa ya sasa iliyotolewa na Tundu Lissu mwenyewe inaonyesha kwamba Tayari Lissu yupo Uwanja wa Ndege wa Brussels kwa ajili ya kurejea nyumbani.
Amesema kwa mujibu wa ratiba ya safari ilivyo, asubuhi atakuwa amefika Addis Ababa, Ethiopia na kwamba baadaye saa 7 na dk 35 atakuwa JK Nyerer Airport DSM.
View attachment 2494582
Tunamtakia safari njema.
Hana lolote huyo msaliti wala hana uzalendo wowote ni mchumia tumboUtukufu wa Mungu ni wa ajabu sana! Taarifa ya sasa iliyotolewa na Tundu Lissu mwenyewe inaonyesha kwamba Tayari Lissu yupo Uwanja wa Ndege wa Brussels kwa ajili ya kurejea nyumbani.
Amesema kwa mujibu wa ratiba ya safari ilivyo, asubuhi atakuwa amefika Addis Ababa, Ethiopia na kwamba baadaye saa 7 na dk 35 atakuwa JK Nyerer Airport DSM.
View attachment 2494582
Tunamtakia safari njema.
HIvi lile jambazi lilitoa pesa kwa mamake au kwa mjombako? Hizi ni kodi zetu na lilituibia chenji ya kutosha tutawadai siku si nyingi we inua mkia tu!Ole wake apande ndege za magufuli maana alishangilia zilipokamatwa
Yeye aje tu wala hatuna mpango naye ila mnatulazimisha kutupatia habari zakeUtukufu wa Mungu ni wa ajabu sana! Taarifa ya sasa iliyotolewa na Tundu Lissu mwenyewe inaonyesha kwamba Tayari Lissu yupo Uwanja wa Ndege wa Brussels kwa ajili ya kurejea nyumbani.
Amesema kwa mujibu wa ratiba ya safari ilivyo, asubuhi atakuwa amefika Addis Ababa, Ethiopia na kwamba baadaye saa 7 na dk 35 atakuwa JK Nyerer Airport DSM.
View attachment 2494582
Tunamtakia safari njema.
Hivi kwani kuna mtu alimfukuza?Kuna watu huko mavi yanagonga vyupi [emoji3][emoji3]
Mzee wa Nothing less Nothing More
Sent from my CPH2219 using JamiiForums mobile app
Umasikini mbaya sana, hapo ulipo hujawahi kupanda hiyo dreamliner!Asije akarogwa akapanda dreamliner au bombadier tutamsaga meno maana alishangilia zilipokamatwa
karibu sana mdogo wangu nakukumbuka sana wakati tupo Ilboru Sekondari na Mungu akutangulie na akupe maisha marefu.Utukufu wa Mungu ni wa ajabu sana! Taarifa ya sasa iliyotolewa na Tundu Lissu mwenyewe inaonyesha kwamba Tayari Lissu yupo Uwanja wa Ndege wa Brussels kwa ajili ya kurejea nyumbani.
Amesema kwa mujibu wa ratiba ya safari ilivyo, asubuhi atakuwa amefika Addis Ababa, Ethiopia na kwamba baadaye saa 7 na dk 35 atakuwa JK Nyerer Airport DSM.
View attachment 2494582
Tunamtakia safari njema.
wewe kalia upuuzi huo huo unajifanya hamnazo ngoja litakapokuja kwako ndo utajua alifukuzwa au la.Hivi kwani kuna mtu alimfukuza?
Nimemuona😀😀BUSH BIN LADEN "Ni yeye"