Watu inaelekea ni wachache sana ndiyo sababu hata picha hazitumwi. Si kama Mbeya jana picha mapemaaaa
Pinga kwa hoja au picha mzee.Naona umekatwa huko jimboni kwenu ndio maana umekimbilia mjini
Na wewe umekatwa vilevile jimboni?
ee bwana watu wamefurika pande hz za a town ful shangwe watu wamejpanga vilivo kumlaki mh.lowassa nyomi sijui hii oxygen ya a-town itatosha
huko si ndio makaomakuu ya saccoss?.
Katumwa huyo c bure!
Mkuu uko maeneo ya wapi hapo uturushia picha?
Unatamani kuona mambo yanakwama lakini utaratibu unaendeleaje kwa Utulivu, watu wameshakusoma na kukupuuza!Endelea kuhangaika mwishowe utataga na uatamie.