Elections 2015 Updates Kutoka Arusha: Mkutano wa kumtambulisha mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA

sio kusimama mji umezizima balaaa polis wamekubali yaishe walikataa maandamano lkn hamna namna
 

Ubarikiwe sana
 
Picha jamani mnawapa unafuu vibaraka wa lumumba. Nimepata taarifa kutoka kwa jamaa yangu yupo uwanjani anasema nyomi ya ARUSHA inaweza kuingia kwenye Guiness book of world records.
 
Tatizo police wanaoajiliwa ni walio feli na watoto wa wakubwa wasio enda shule. Karibia wote ni mabogasssss. Akili za kuambiwa changanya na zako. Tumia nguvu kidogo akili nyingi
 
Nampongeza sana jamaa na hakika anajitambua

​ccm ndio iliyozalisha rushwa na ufisadi, ni jiko linalopika na kuandaa ufisadi. Kisha leo plepole anataka kuhadaa watanzania eti ccm na magufuli hawana ufisadi anajipotezea mate na energy. Watanzania tunafahamu kila kitu. Tulimtaja jk ktk list of shame na bado polepole hakuzungumza, ccm hiyoyo ituambie rizwn amepata wapi huo ubilionea wakati naye ana degree moja kama watoto wa walala hoi,aliajiliwa wapi penye mshahara wa basic salary bilion 1. Kama sio mfumo uleule wa ccm umemtajilisha mtoto wa jk. Polepole anatafuta madalaka kama aliyopewa yule bwana aliyemrukia na kumpa kichapo mze warioba leo tunaona ni mkuu wa wilaya. Kwahiyo hata polepole hawezi achana na mfumo ccm sababu anauchu na kuwa bilionea.hakuna waziri wa ccm asiye bilionea, gufuli anamagorofa kibao,mabasi kibao,vivuko kibao ni fisadi linalojificha ficha na mtu huyu hafai kabisa bora anaye onekana kuliko anayesajili majina ya watoto!!!!
​[/QUOTE]

to
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…