peter muta
Senior Member
- May 20, 2015
- 145
- 19
Picha jamani mnawapa unafuu vibaraka wa lumumba. Nimepata taarifa kutoka kwa jamaa yangu yupo uwanjani anasema nyomi ya ARUSHA inaweza kuingia kwenye Guiness book of world records.
Niko clock tower hali shwari, kila mtu anaebdelea na lake. Wala sija hisi kama fisadi yupo mjini?
Huu ni upepo tu utapita na utatulia tu Watanzania msihofu ushindi ni kwa CCM na Dr Magufuli upo palepale
Habari kwa picha tafadhali..!
Taratibu naona wataelewa tu pamoja na kuakataza watu kwenda kumpokea ....