Elections 2015 Updates Kutoka Arusha: Mkutano wa kumtambulisha mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA

Elections 2015 Updates Kutoka Arusha: Mkutano wa kumtambulisha mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA

Picha jamani mnawapa unafuu vibaraka wa lumumba. Nimepata taarifa kutoka kwa jamaa yangu yupo uwanjani anasema nyomi ya ARUSHA inaweza kuingia kwenye Guiness book of world records.

upo saihi mkuu, malemo atazituma muda si mrefu,
 
Niko clock tower hali shwari, kila mtu anaebdelea na lake. Wala sija hisi kama fisadi yupo mjini?

Clock tower na kimandolu wapi na wapi.We unaijua arusha au umesimuliwa.
 
kweli hapa polisi ni lazima waufyate maana si kawaida ukizingatia mkoa wa arusha ndio kichwa cha urais.
 
Chuga mnanipa nguv mazeee
 

Attachments

  • 1439643118032.jpg
    1439643118032.jpg
    129.7 KB · Views: 4,832
Watu ni wengiiiiiiiii sanaaaaaaa...naaaaaaaaa...!!!

Inatakiwa chopa kupiga pictures....!!!!

Miti watu wamepanda...ni wengiiii...camera bila chopa hapa huwezi pata pictures za kuona vizuri....!!! ni sheeeeedaaaa..!!!!
 
Na nyingine tena
 

Attachments

  • 1439643697297.jpg
    1439643697297.jpg
    32.4 KB · Views: 33,311
Back
Top Bottom