Elections 2015 Updates Kutoka Arusha: Mkutano wa kumtambulisha mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA

aliekuwa Waziri Wa mambo ya ndani,mbunge Wa nyamagana Na mjumbe Wa NEC ajiunga rasmi UKAWA,kweli ccm kwisha habari yake
makapi..kama yuko in love na cdm kwa nini ajiunge baada ya kushindwa kura ya maoni. gamba oppurtunist. magamba yanakoboka ccm na kutua cdm...amen
 
Tunampenda hivyohivyo na wizi wake. Haya mtuache basi jamani eeehhhh
 
Last edited by a moderator:
Hotuba za Mh Lema za kijasili sana...watanzania wachache wenye msimamo kama huo....ni waki-Mungu, ni waki-ukombozi.
 
Wacha 1
Umechelewa kupewa posho ya utetezi wa marehemu ccm tulia tu subiri matanga pole.

Hakuna lolote huyo jambazi hawezi kuwa rais. You will come and tell me, I am old enough to know that EL will never govern this country whether you like it or not.
 
CCM safi. Mpaka october wachafu watakuwa wemeondoka wote kwenda Chadema. Mungu saidia waende chama kiwe safi na tupate mabadiliko ya kweli.
Vyama vyote CHADEMA na CCM vitaumia...atakayesalimika ni atakayejua na kuweza kumanage mabadiliko haya. CCM haitakuwa salama kama unavyojidanganya na hasa wakiachwa akina Nappe kuendelea kuropoka wanavyofanya.
 
CCM hawataki kuona hayo mafuriko,wameshajikojolea na kuchanganyikiwa
 
Tanzania daima.....hii sasa sifa
Nipashe........gharika tena
Mtanzania......lowassa
Uhuru......kikwete awaaga wizara ya ujenzi
Mzalendo.....watu milioni 23 wajiandikisha kupiga kura
Mwananchi.......Arusha yasimama

na wewe to utabiri wako magazeti ya kesho
 
CCM ni chama cha kifamilia kama huna mkubwa serikali ya ccm hupati kazi! Lowassa changuo la mungu
 
ccm sasa basi tulikupenda lakin mafisadi wamekupenda zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…