Elections 2015 Updates Kutoka Arusha: Mkutano wa kumtambulisha mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA

Elections 2015 Updates Kutoka Arusha: Mkutano wa kumtambulisha mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA

Arusha kampeni hazijaanza acheni sifa nyie buana! Mnataka ligi na Mbeya ama mnataka nini sasa?! Kitu kidogo tu mnajazana kama vile kuna mtu mnamkomoa! Hizi sifa hizi, acheni buana! Uzinduzi wa kampeni mtajua sisi dsm ni nani! Hakuna cha panya road wala cha kova! Tusikimbiane View attachment 276736Arusha one:

arusha two.jpgArusha two:

arusha three.jpgArusha three:

arusha four.jpgArusha four:

View attachment 276746Mbeya one:

View attachment 276748Mbeya two:

View attachment 276749Mbeya three:

Wakuu nafikiri kazi imekwisha kwa Arusha, haikuwa kazi nyepesi kwani changamoto za network zilitukwamisha sana leo, ila tunamshukuru mungu tumemaliza salama. Tukutane kesho pale Mwanza.
 
Hakuna lolote huyo jambazi hawezi kuwa rais. You will come and tell me, I am old enough to know that EL will never govern this country whether you like it or not.

Acha paniki mkuuu lowasa chaguo la wa Tanzania mtaisoma namba mwaka huu ukawa oyeeeeeeeeee
 
Wakuu heshima kwenu,

Kwanza nianze kutoa pole kwa wanaofurahia mafuriko ambao umekuwa msemo wa ukawa.
Binafsi ukawa na mafuriko ni watu wanafiki wanaokumbatia ufisadi, kuwafanya wananchi watoto wadogo
walizunguka nchi nzima wakipinga ufisadi na baadae sasa hivi wanazunguka kuutakasa huo huo ufisadi na
watu ni wale wale hii ni aibu kubwa.
Nawapongeza Dr. Slaa, Prof. Lipuma na wengine wengi amambao hamjajitangaza lakini mtaonesha msimamo
wenu kuukataa unafiki huu uliofanywa na wababe wachache ndani ya UKAWA kwenye uchaguzi tar 25 oct.
Hakika hii ndiyo itakuwa GHARIKA kubwa ambayo itawakumba wengi nakuacha huzuni kubwa kwa waliokuwa
na matumaini ya kuingia ikulu ili wakaendeleze dili zao binafsi huku wengine wakiomba msaada na kubisha hodi
mlango wa CCM ili waingie tena na kukuta umefungwa kwa KUFULI kubwa na waliomo ndani watasema
hatukufunga sisi mwambieni RAIS J.P. MAGUFULI ndo mwenye uwezo wa kufungua.

MAFISADI, WALARUSHWA NA WAZEMBE JISAFISHENI GHARIKA YAJA ITAWAKUMBA WOTE OCT,25 2015

MAGUFULI NDIYE GARIKA AJAYE.

I am Wacha1, you don't know? Ati CCM imechokwa kwani jina ndio tatizo. Huyu Mwizi wa mchana kweupe katoka CCM miaka yote amekuwa mwizi mkubwa kwenye mashirika ya umma na sasa ndio aliweza kujiingiza kwenye shirika la simu na kudhoofisha TTCL leo ndio mnamuona kama mfalme wenu pathetic, what type of people are you. You act like docile donkey.

acha kupanic wewe chadema sio arsenal
 
Last edited by a moderator:
Safari ya Mgombea Urais wa UKAWA, Edward Ngoyai Lowassa kutafuta wadhamini, baada ya kutoka Mbeya jana, leo August 15 2015 safari imeendelea Arusha. Mkutano unaendelea katika Viwanja vya Tindinagi, Arusha na hizi ni pichaz ambazo ripota wa millardayo.com amenisogezea kilichoendelea toka asubuhi wakati watu wanaanza kusogea kwenye Viwanja hivyo.

Watu wa Usalama kwenye kazi yao kuhakikisha kila kitu kinaenda sawa.

Picha ya juu kabisa, watu wa Arusha walivyokuwa wakimsubiria Lowassa Viwanja vya Tindigani.

Acha paniki mkuuu lowasa chaguo la wa Tanzania mtaisoma namba mwaka huu ukawa oyeeeeeeeeee

Watanzania unaowafahamu wewe, mimi naongelea Watanzania as a country. Kwenye nchi kuna system unafikiri nchi inaongozwa kama Romano anavyoongoza Chelsick? Mtajuta mwaka huu khe khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
ngoma droo..sisi mwanza kesho tutamliza kazi na mh Laigwanan atasema naaaaaaaam
tuko buswelu tunajipanga kuwanyamazisha mafisi kesho
 
Wakuu heshima kwenu,

Kwanza nianze kutoa pole kwa wanaofurahia mafuriko ambao umekuwa msemo wa ukawa.
Binafsi ukawa na mafuriko ni watu wanafiki wanaokumbatia ufisadi, kuwafanya wananchi watoto wadogo
walizunguka nchi nzima wakipinga ufisadi na baadae sasa hivi wanazunguka kuutakasa huo huo ufisadi na
watu ni wale wale hii ni aibu kubwa.
Nawapongeza Dr. Slaa, Prof. Lipuma na wengine wengi amambao hamjajitangaza lakini mtaonesha msimamo
wenu kuukataa unafiki huu uliofanywa na wababe wachache ndani ya UKAWA kwenye uchaguzi tar 25 oct.
Hakika hii ndiyo itakuwa GARIKA kubwa ambayo itawakumba wengi nakuacha huzuni kubwa kwa waliokuwa
na matumaini ya kuingia ikulu ili wakaendeleze dili zao binafsi huku wengine wakiomba msaada na kubisha hodi
mlango wa ccm ili waingie tena na kukuta umefungwa kwa KUFULI kubwa na waliomo ndani watasema
hatukufunga sisi mwambieni RAIS J.P. MAGUFULI ndo mwenye uwezo wa kufungua.

MAFISADI, WALARUSHWA NA WAZEMBE JISAFISHENI GARIKA YAJA ITAWAKUMBA WOTE OCT,25 2015

MAGUFULI NDIYE GARIKA AJAYE.

Pole naona unakosa usingizi, pole.
 
Back
Top Bottom