asubuhi sana
JF-Expert Member
- Mar 18, 2015
- 1,667
- 1,411
Mwanzoni umetanguliza kuponda sa hilo swali jibu lake unalo wew ! Acha kupigia mistari majibu yako , people's power ! Ukawa ndo jibu letu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii pia inaweza kuashiria kuwa kuna waliopita kura za maoni lakini ni wapenzi wa Lowassa; adui wa ndani ni hatari zaidi...just curious.makapi..kama yuko in love na cdm kwa nini ajiunge baada ya kushindwa kura ya maoni. gamba oppurtunist. magamba yanakoboka ccm na kutua cdm...amen
Uhuru-pinda ahimiza ufugaji wa nyuki.
Lawrence masha ahamia chadema
Wakuu nafikiri kazi imekwisha kwa Arusha, haikuwa kazi nyepesi kwani changamoto za network zilitukwamisha sana leo, ila tunamshukuru mungu tumemaliza salama. Tukutane kesho pale Mwanza.
Hawa ndio machalii wa chuga wanajielewa tokea so young yan Arif.
jana ulini quote kwamba lowasa kuwa rais ni ndoto
Watanzania unaowafahamu wewe, mimi naongelea Watanzania as a country. Kwenye nchi kuna system unafikiri nchi inaongozwa kama Romano anavyoongoza Chelsick? Mtajuta mwaka huu khe khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Uhuru-pinda ahimiza ufugaji wa nyuki.