Elections 2015 Updates Kutoka Arusha: Mkutano wa kumtambulisha mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA

Elections 2015 Updates Kutoka Arusha: Mkutano wa kumtambulisha mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA

Polepole sio mzima msamehee bure .nikazi alipewa na ccm kama aliyo pewa Magufuli .hawana namna itabidi wasindikize mafuriko mpaka yatakapo simama

Mafuriko mwisho wake ni baharini au ziwani na bahari au ziwa letu ni Ikulu
 
Magamba magamba why always you lakini, mwaka huu mtaisoma


Tunajua alichohongwa Lipumba. Tulikuwa hatutaki kusema, lakini kwa kuwa mmetuchukoza, basi ngoja tumwage nyigu hapa.-

Kwamba wale vijana wawili aliokuwa nao wakimlinda ni maafisa uslama wa taifa kutoka kikosi cha ulinzi wa viongozi pale Kijitonyama (PSU). Alipewa na Othman Rashid kama sehemu ya makubaliano ya mradi wao. Ikumbukwe kwamba Othuman ndiye aliyemdanganya Kikwete kwamba Lowassa hata akikatwa hatatoka CCM.

Kingine alichoahidiwa ni kupewa nafasi ya mshauri wa uchumi kama Magufuli akishinda. Hii ni nafasi aliyokuwa nayo wakati wa utawala wa Mwinyi.

Othman anaendesha Idara kiajabu sana, nimepata taarifa tena kwamba amepeleka vijana watatu zaidi ili wamlinde Gharib - mmiliki wa home shopping center. Huyu ni mfanyabiashara mwenye asili ya kiarabu. Ameongezewa ulinzi kwa sababu ni mtu muhimu kukusanya fedha kwa ajili ya kampeni za Magufuli.-

Anafanya kazi hiyo akishirikiana na Said Lugumi ambaye wiki iliyopita alikwenda Israel kwenye mradi hewa unaohusisha jeshi la wananchi. Mradi wenyewe wanaosema ni kwa ajili ya kunua accessories za kijeshi uliandikwa kugharimu dola milioni 12 lakini gharama halisia ni dola milioni mbili.-

Lugumi katumia dola milioni moja kuhonga hazina na jeshini ili wakubali kughushi nyaraka, halafu kiasi cha dola milioni 9 zilizobaki kazigawanya mara mbili; nyingine kazipeleka kwenye kampeni ya magufuli na nyingine kazipeleka kwenye ujenzi wa jengo la kifahari karibu na tanganyika international school pale oysterbay. Hilo jengo ni la Kikwete mwenyewe.-

Nmemwaga ugali, nimeamua kumwaga mboga na kuvunja vungu.

Posted by:-Saed Kubenea-
Source www.mwanahalisionline.co.tz
 
Kesho mwanza sipati picha Arusha tumefanya yetu leo hakika ccm hata wakipaniki ni haki hayo .ccm kwaherini tanzania
 
ama kweli huyu jamaa ni chaguo la mungu ndo maana vi ccm siku hizi vimekuwa vipole vikada vya ccm vinaongea kama wanaopelekwa machinjioni sifa tunataka mabadiliko hatuangalii makunyanzi ukawa hoyeeeeeee.....
 
Vyama vyote CHADEMA na CCM vitaumia...atakayesalimika ni atakayejua na kuweza kumanage mabadiliko haya. CCM haitakuwa salama kama unavyojidanganya na hasa wakiachwa akina Nappe kuendelea kuropoka wanavyofanya.

To me that is positive na ndio mabadiliko tunayotaka. Maana ni wazi kuwa ufisadi ndiyo uliofikisha taifa ili hapa. CCM walitakiwa wauepuke kama chama zamani sana. ILA chadema kuukumbatia sasa hivi ndiyo mbaya zaidi. That is why we say ccm is becoming better without them in comprison to Chadema with them.
 
Mkakati=LOWASSA AJAZA WATU KUTOKA DAR
UHURU=DR SLAA AJIPANGA KUIRIPUA CHADEMA
HABARILEO=WASOMI WAZIDI KUMPONDA LOWASSA
 
salam wakuu;
kikwazo kikubwa ninacho kiona mm ni goli la mkono tu,maana watu ni dhahiri walio wengi hata kufikia zaidi ya 80% wanataka mabadiriko,ikiwa goli la mkono litatumika basi naweza sema hakuna chama kingine kitakacho shika dola kwa miaka zaidi ya 50 kama sio 100 ijayo.

ni kwa namna gani goli la mkono linaweza kuzuiwa ikiwa refa wa kwao?????

mtazamo wangu wakuu.
 
Kweli mkuu gharika kuu yaja ambapo watu watalia na kuyasaga meno yao ..
 
Back
Top Bottom