Elections 2015 Updates Kutoka Arusha: Mkutano wa kumtambulisha mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA

Elections 2015 Updates Kutoka Arusha: Mkutano wa kumtambulisha mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA

Hapa sasa sıasa za nchi yetu kwa miaka 23 zinaanza kupata mwelekeo mpya! Kwanza Mama Tanzania! Mtu si adui bali itikadi za vyama ndo za weza kuwa adui na chanzo cha umaskini wa watu wake! Vyombo vya dola visimamie majukumu yake kamwe visiingie kwenye siasa kwa muonekano huu
 
Kwa nini wasiahirishe uchaguzi tukubariane na utabiri wa TB Joshua na kwamba mtu ka-win the majority kuepuka gharama za uchaguzi ili yule mzee aende Ikulu, maana atashinda by any means.

Demokrasia inasema hata kama unajua unashindwa, ni lazima uingie kwenye uchaguzi.
 
Ataishia kukodisha magari kubeba watumwa wake kutoka mkoa mmoja kwenda kujaza mkoa mwingine kuonyesha anapendwa!

Ataishia kusikia ikulu tu! Mwezi wa kumi si mbali msikimbie kuweka uzi wenu humu mara tu rais mtarajiwa atakapotangazwa mshindi kuingia ikulu

najua hamtakosa sababu maana mtasema kaibiwa kura! Kama unapresha ya kupanda au kushuka siku hiyo mwandae daktari wako awe jirani na drip pembeni
 
Back
Top Bottom