Elections 2015 Updates Kutoka Arusha: Mkutano wa kumtambulisha mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA


Hizi ndio shida zenu watu wengi washabiki wa ukawa!
Hatuitoi ccm kwa kuwa tunaichukia, tunaikataa kwa kuwa haiwezi kutufikisha ktk hatua za maendeleo tunqzozitaka sisi! Africa nyakati kama hizi huwa kunatokea vurugu sana sababu watu wanatumia siasa kama ruhusa ya kufanyia dhambi zao, hasa kukamilisha chuki zao kwa watu wa Jamii nyingine, iwe Jamii tunayotofautiana nazo kiuchumi, kiitikadi za Sera za siasa, au dini au kabila etc!
Kama kura yako kwa ukawa ni kwasababu tu yq chuki dhidi ya ccm, nadhani kura yako haina maana ktk Jamii, ingawa unaweza kuleta ushindi kwa ukawa!
 
mafuriko ya kumshangaa fisadi lowasa yanaelekea baharini. Dr magufuli ndo mteule wa watanzania kwenda ikulu

Huyo mtu wako hakuwa na hilo wazo,ameshtukizwa tu na wale jamaa Wa kamati ya fitna na majungu,mwanzoni alifurahia lakini sasa anajuta kwa kuingizwa choo cha kike harafu anakutana na mama mkwe kachuchumaa anamwaga vitu vyake
 
lowasa sasa hii sifa, yaani kumbe primier league uingereza ilishaanza zaidi ya wiki,yaani na kupenda kwangu ligi hii sikuwa na taarifa, kisa habari ya mjini kwa sasa ni lowasa.
kwa vyovyote vile lowasa atakuwa ni fremanson,haiwezekani hakaifunika adi ligi maarufu duniani.
 
Lowasa kitu kimoja hajui kuongea.jamaa maneno simple tu anaongea kwa kukoseakosea huku akitetememesha mdomo
 
Kwa akilibyako nusu kijiko ni magari mangapi yanaweza kusomba hizo nyomi,hayo mambasi yako wapi maana inahitajika mabasi sio chini ya 30000 kubeba hiyo nyomi maana ni watu zaidi ya milioni 1.5.

Mabasi tu ya ubbungo yote hayafiki hata elfu 5,akichukua mabasi yote bado hayatatosha na watu wengine wanaoenda safari za nje na nchi ya nchi watakosa usafiri,je ulishawahi kusikia watu wamekosa usafiri kisa basi zzinqsomba watu?
Acha kufikiiri kwa kutumia meya wa jiji.
 
Ndugu wana ukawa wapendwa, kumbukeni,yaliyotokea nchini kenya, raila odinga alikuwa na mikutano mikubwa kwenye kampeni zake, lakini uhuru akamzidi ujanja kwa kumuibia kura 500,000.je, ninyi hayatawakuta yaliyomkuta raila odinga? Jipangeni sawasawa!
 

Peleka ujinga wako huko!
 
ndugu wana ukawa wapendwa, kumbukeni,yaliyotokea nchini kenya, raila odinga alikuwa na mikutano mikubwa kwenye kampeni zake, lakini uhuru akamzidi ujanja kwa kumuibia kura 500,000.je, ninyi hayatawakuta yaliyomkuta raila odinga? Jipangeni sawasawa!


 
Uhuru.Kinana akanusha kuhusika na nyara za tembo
 
Mkuu kwanini mnawabagua sana watu wa huko Kaskazini?
Mi nimeishi nao, mbona ni watu wenye juhudi katika mambo yao?
Nadhani ni muda wa kuacha ubaguzi na kuchafua watu kwa kisingizio cha ukabila na ukanda.
Demokrasia IAMUE.
 
Nimekaa mahali nikatafakari ni nini kimewapata watanzania nikakosa jibu yaani wako kama same Changanyikiwa na hawarudi nyuma hata kwa dawa kweli Watanzania mmeamua kusonga mbele bila kutazama nyuma kamwe
 
Lowasa amwagiza Mh Rema kwenda Tanesco kuhoji tatizo la umeme linalosumbua jiji la Arusha: Mwananchi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…