Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Gufuli hajaandikwa popote kwa mazuri week hii yote
Nyie ni edo edo tu haiwezekani kabisa
Gufuli hajaandikwa popote kwa mazuri week hii yote
Nyie ni edo edo tu haiwezekani kabisa
Hawa vijana wa chadema nitawaona wa maana wakikesha ili kulinda kura zao 25.10.2015!
Gufuli hajaandikwa popote kwa mazuri week hii yote
Nyie ni edo edo tu haiwezekani kabisa
Habari Wanajamvi.
Leo ndio ile siku inayosubiriwa kwa hamu hapa Mkoani Arusha, pale ambapo mgombea wa Urais kwa tiketi ya Ukawa Ndugu Edward Lowassa atakapotambulishwa rasmi mkoani hapa.
Hakika maandalizi yamekamilika kwa asilimia 100%, Mkutano huu pia utashuhudia maelfu ya wanachama wa ccm mkoani hapa wakirudisha kadi zao na kuhamia rasmi Chadema.
Makamanda karibuni ili tupeane updates na kujulishana kile kinachoendelea.
Mkutano Unafanyika viwanja vya Tindigani, Kimandolu.
cc: Timu mahiri ya wanahabari ya Chadema Chademakwanza [MENTION=32195] Molemo Tumaini Makene[/MENTION]
Updates:
Baadhi ya wanachama wamepiga kambi karibia na KIA ili kupata fursa ya kujumuika vizuri hapo baadae.
Wananchi mamia kwa maelfu wanazidi kushuka toka mjini kwenda KIA hakika hapatoshi, picha zitakuja punde tuu.
Nmeona magari ya washawasha sasa cjui ni vita au Kuna kingne.....