MeinKempf
JF-Expert Member
- Jun 11, 2013
- 11,093
- 7,229
Hahahaha mkuu hao washajiunga kimyakimya Jana nilikuanaosehem nikawa naonyesha picha za mbea haowazee wa cape wakajikusanya wakawa wana zicheck huku wanacheka chekatu kiaina sababu walikuwa kwenye sutizao za kazi.
kumbe na wao wanaikubali kiaina.....