Elections 2015 Updates Kutoka Arusha: Mkutano wa kumtambulisha mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA

Elections 2015 Updates Kutoka Arusha: Mkutano wa kumtambulisha mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA

Sawa sawa..coz haina maana kukesha barabarani mwisho wa siku hawapigi wala hawalindi kura zao..ni wastage of time and money..ngoja tusubili hiyo October,2015 mkuu

Mkuu mbona ni utamaduni watu Wa A town kukesha kulinda kura ,umesahau wakati nasari anachukua ubunge Wa arumeru mashariki ,watu walikesha mpaka kikaeleweka
 
jamani kwa tulio arusha wenyewe mnashuhudia shamra shamra zilivo, yani hakukaliki , kila mtu tupo na picha kifuani ya mheshimiwa rais wetu lowasa, wamasai wanatoka monduli kwa mguu hadi kimandolu, kila mtu habar za asubuh ni lowasa tu, kijana ukimwambia mambo anakujibu kwa lowasa, ntaendelea kuwapa update ila kifupi tu leo hili jiji litazizima siku nzima na dunia itasimama kuzunguka leo
picha ni muhimu sana mkuuu msitutenge tuliombali
 
Jamani kwa tulio arusha wenyewe mnashuhudia shamra shamra zilivo, yani hakukaliki , kila mtu tupo na picha kifuani ya mheshimiwa rais wetu lowasa, wamasai wanatoka monduli kwa mguu hadi kimandolu, kila mtu habar za asubuh Ni lowasa Tu, kijana ukimwambia mambo anakujibu kwa lowasa, ntaendelea kuwapa update ILA kifupi Tu Leo hili jiji litazizima siku nzima na dunia itasimama kuzunguka leo
Litarindima siyo kuzizima! (Kwa mujibu waRadio One leo jmosi kipindi cha kiswahili)
 
kama umechoka kuishi kwenye hii Dunia nenda na kanga au shati la CCM.

Kuna bibi mmoja juzi alipita sokoni akiwa amevaa kilemba cha CCM yaani ndani ya sekunde moja wataalamu walimvua na kumvalisha lemba lakinigeria lililofungwa vyema bibi alipendeza mpaka mwendo ukabadilika
 
Kwa huu upepo wa kisiasa unavyovuma nchini hivi sasa, naamini hadi ifikapo Oktoba 25 mwaka huu yanaweza yakawa yametokea maafa kadhaa ya wahanga wa pressure.

Maana hii CDM inachofanya hivi sasa ni kutaka sifa, yaani wakati maccm bado yanaugulia maumivu makali sana ya ile nyomi ya 'kufa mtu' kule Mbeya, leo tena mmepania huko Arusha kulisimamisha kabisa jiji la Arusha.
Funga kazi ni Mwanza hapo kesho.
 
Back
Top Bottom