Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ana nyota ya jembe na nyundo! mwenzie ana nyota ya chips yai.
Nilishangaa mtoto wa dadangu yupo std 2 ananiambia " mamdogo i want chadema to win i love it for sure..." i was surprised yaani! kifupi EL ana nguvu ya umma!
Habari Wanajamvi,
Leo ndio ile siku inayosubiriwa kwa hamu hapa Mkoani Arusha, pale ambapo mgombea wa Urais kwa tiketi ya Ukawa Ndugu Edward Lowassa atakapotambulishwa rasmi mkoani hapa.
Hakika maandalizi yamekamilika kwa asilimia 100%, Mkutano huu pia utashuhudia maelfu ya wanachama wa ccm mkoani hapa wakirudisha kadi zao na kuhamia rasmi Chadema.
Makamanda karibuni ili tupeane updates na kujulishana kile kinachoendelea.
Mkutano Unafanyika viwanja vya Tindigani, Kimandolu.
cc: Timu mahiri ya wanahabari ya Chadema Chademakwanza Molemo Tumaini Makene
Updates:
Baadhi ya wanachama wamepiga kambi karibia na KIA ili kupata fursa ya kujumuika vizuri hapo baadae.
Wananchi mamia kwa maelfu wanazidi kushuka toka mjini kwenda KIA hakika hapatoshi, picha zitakuja punde tuu.
Hakikishen tourch zenu ziko full charged. Kila sehem popote pale.
polisi wakianza ujinga jitahidin kurekodi matukio. Tukiingia madarakan akina Kamuhanda na wenzake woote lazima washughulikiwe ipasavyo kwa udhalim waliotenda.
Kamera ziwepo za kutosha popote
Watu wanafanya mikusanyiko kwa amani halafu wajingajinga wengine wanataka kuuwa watu bila hatia.. Akina chagonja na wenzake.. Aibu sana.
Hapa ndiyo anashuka KIA sasa hivi.
Wanaenda kusikia MAMA NTILIE, BODABODA, MACHINGA. ignorants
Pamoja sana .........ukawa juu.........mwaka huu ....tanzania lazima iwe mpya....!!!!!!!!!
wakati anawasil.i uwanja wa ndege KIA
![]()
![]()
Kwanini hii mikutano haionyeshwi LIVE kwenye TV CHANNELS??? tatizo ni nini? CC. Tumaini Makene.
Hii picha ya chini,lete maelezo kamili,sijaelewa.