Elections 2015 Updates Kutoka Arusha: Mkutano wa kumtambulisha mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA

Gufuli hajaandikwa popote kwa mazuri week hii yote
Nyie ni edo edo tu haiwezekani kabisa
 
...hii sasa siifaa khaaa Lowassa wahurumie ccm mazee utawaua kwa presha, kufuli nalo lina taka kujivua gamba yaishe...
 
Moderator Invisible naomba muunganishe uzi huu na ule mwingine ili kupata updates za uhakika kwa pamoja. Ikiwezekana huu ndio uingie kwa ule mwingine.
 
Last edited by a moderator:
Hawa vijana wa chadema nitawaona wa maana wakikesha ili kulinda kura zao 25.10.2015!

Sawa sawa..coz haina maana kukesha barabarani mwisho wa siku hawapigi wala hawalindi kura zao..ni wastage of time and money..ngoja tusubili hiyo October,2015 mkuu
 
Waarusha nawakubali sana, hawababishwi kabisa na vile leo si siku ya kazi basi itakuwa kazi sana leo
 

tafadhali kwenye update zako, ambatanisha na saa ili kwa usoma page 1, tujue kinachoendelea. mfano

update 09:50 KIA
Amefika kia, ikiwezekana na picha ya tukio itakuwa njema zaidi
 
Last edited by a moderator:
Jamani kwa tulio arusha wenyewe mnashuhudia shamra shamra zilivo, yani hakukaliki , kila mtu tupo na picha kifuani ya mheshimiwa rais wetu lowasa, wamasai wanatoka monduli kwa mguu hadi kimandolu, kila mtu habar za asubuh Ni lowasa Tu, kijana ukimwambia mambo anakujibu kwa lowasa, ntaendelea kuwapa update ILA kifupi Tu Leo hili jiji litazizima siku nzima na dunia itasimama kuzunguka leo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…