Elections 2015 Updates Kutoka Arusha: Mkutano wa kumtambulisha mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA

Elections 2015 Updates Kutoka Arusha: Mkutano wa kumtambulisha mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA

watanzania wanajitokeza kumshangaa fisadi anayeota kuwa rais wa nchi
 
Niko clock tower hali shwari, kila mtu anaebdelea na lake. Wala sija hisi kama fisadi yupo mjini?

Clock tower imetulia kwa sababu watu wengi wako kimandolu na ndio maana ya Mji kusimama. Mwanzoni hata mimi niliamini lowasa huwa analeta watu na mabasi leo nimeamini maana from no where hata family yangu wamenishikia chini eti wanataka kumwona lowasa kana kwamba ni mpya sana. Kweli nimeamini ukisema wa nini wenzio wanasema nitampa lini
 
11181090_844000892387032_6036706536539975914_n.jpg
 
Kuna watu wana akili ndogo na za ajabu.Walizuia wagombea kusindikizwa kwenye kuchukua na kurudisha form na sı maandamano yote.
 
wale si wapenzi wa ukawa wala lowasa, wanakuja kimkumbo tu. subiri oktoba 25 ndo mtashangaa lowasa anapata 20% ya kula tu
 
watanzania wanajitokeza kumshangaa fisadi anayeota kuwa rais wa nchi


Wee unatafuta kifiroooo....

Mara uko CCM mara unamtaka Dr. Slaa...

Hayo makalio yana Ky tuanze kazi...kaoge jiandae...tutakupiga pumbv utembee ki matege matege all ur life..!!! Utashikwa na kigugumizi bastard wee...!!!👌👌👌👌👎👎👎
 
Lowassa ni noma,Maana mafuriko yote yanaukubwa sawa,Sometimes huwezi kujuwa picha ni ya mafuriko ya wapi
Kweli watu wameamua,Ulipo tupo mzee
 
Back
Top Bottom