Mafuriko hata California yapo
Wapinzani acheni kuokoteza matukio
Nani kakudanganya, majiji kama London, New York, Florida, Beijing, Berlin nk yaliyojengwa kwa mpangilio yanapata mafuriko ndo Dar kushindwe kutokea? Kwanz ufahahmu kuwa Dar ni low land area kwahiyo mafuriko lazima kwasbabu maji yanatembea taratibu, Dodoma iko katika highland maji yanatembea haraka na hutoweza kuona mafuriko.
Mwisho ujue kuwa maji hayazuiwi na hufuata mkondo wake.
Mbukwenye,,,,kufika?
Nini kufika mimi nimezaliwa hapo na kukulia.
Bro umeandika kwa sauti kubwa sana, kunywa maji upooze koo.
Na watu wa Dodoma mmeanza kuivimbia dar? 😂 😂 😂 kweli maajabu hayaishi.Dar ilijengwa hovyo sana.
Dodoma imejengwa kwa mpangilio huwezi sikia kitu kama hicho cha mvua kidogo mafuriko siku tatu, Dar es salaam kila mtu kajenga anavyotaka nyumba zipo kama zilikuwa zinatupwa sio kujengwa.
Acha utani kasie unajifunika blanket dar [emoji2]Mbagala niliyopo imenyesha nje kumelowa ndembendembe... nimerudi kitandani kujilaza nimejigubika blanketi bwiiii.
Naperuuuzzzzzz na Kudaaadiiiizzzzzz
Dah...braza...hakuna tatizo lolote...Kuna sheria/kanuni za kutumia herufi kubwa katika herufi za kiingereza (a,b,c...) Jina lolote linapaswa lianze kwa herufi kubwa..Kama Mungu, Maiko, Shetani, Chato nk yote yanatakiwa yaanze kwa herufi kubwa...Pia kumbuka herufi ndogo kama mungu sio Mungu aliye hai ni mungu wa dunia(Shetani) jitahidi kuandika herufi kubwa majina kama Haya Mungu na wala sio mungu au uandike herufi kubwa yote kama hivi MUNGU
Sent using Jamii Forums mobile app
😀😀 mbukwa, gono wenyu.Mbukwenye,,,,
Na watu wa Dodoma mmeanza kuivimbia dar? 😂 😂 😂 kweli maajabu hayaishi.
Ningekufa kabisa[emoji23][emoji23]
Nakuja maana si kwa hili baridiNjoo nikukumbatie
Hahahaha yakishuka watatia aibuKishindo cha awamu ya tano hicho usiogope ndio zinashusha madaraja na flyover hizo radi.
Gurump ndogo?! Labda ulipo aiseee mpaka ardhi inatingishika ww wasema ndogo?!Hizo ngurumo za kawaida sana wala hazitishi,
Radi zipo Tabora, katavi, Rukwa na Kagera, mwanga wake tu unaweza kuzimia sembuse na hivi vingurumo vidogo vidogo
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilishaamka jaman kulala ni masaa2 au 3 tu[emoji6]Kwamba umeshaamka au hujalala[emoji3][emoji3][emoji3]
Aisee itabidi niende kipindi cha mvua nikashuhudie ila naweza nikafa na uwogaUkienda Mwanza kipindi cha mvua hautamaliza wiki unapakimbia. Kule radi zinaua, zinatoboa mabati na kupasua miti. Radi ikipita mahali utafikiri jogoo kaparua.
Acha uongo unafananisha Beijing, London, Paris na hiyo takataka Dar ...Kama hufuatiliaa matukioa duniani siyo kosa langu, hata kugoogle ukaona unataka likuletee we endelea kusikiliza music na umbeya mambo mengine usiwe mbishi.