UPDATES: Madhara ya mvua iliyonyesha jijini Dar - Desemba 17, 2019

Acha uongo unafananisha Beijing, London, Paris na hiyo takataka Dar ...



Hiyo Dar hata haijaifikia Pretori hapo south AFRICA ndio iwe Paris ... Watanzania tokeni nje ya nchi walau hapo south Africa mujionee

Sent using Jamii Forums mobile app

Nilitegemea useme mafuriko huwa yanatokea au la! hizo mbwembwe zingine ungeachana nazo,
 
Tunawapongeza kwa kujenga barabara za mwendokasi, mpembuzi yakinifu na wataalam wa wizara ya ujenzi wa ccm ni wajuzi sana wasiotaka kusikiliza ushauri kutoka kwa watu wenye mawazo tofauti na yao wanawaita upinzani wakatumia akili zao hizo hizo walikuwa makini sana.

Tunawapongeza tena, tunatekeleza ilani ya CCM na awamu ya 5 imejipanga kuinua daraja la Jangwani mpaka mita 300 kwenda juu kama mkuu wa mkoa alivyosema na kuahidi nadhani tutashuhudia utaalamu mwingine adimu kutoka kwa mkuu wa mkoa.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama wewe ni Mkristo, usingeandika hivyo! Pole sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
😝😝😝😝😝😝😝😝 mji wa kiboya sana huu, nampongeza Magu kwa kuhamia Idodomya
 
Toka aTegeta mpaka chanika tumetumia masaa 6

Sent using Jamii Forums mobile app
Poleni...swala la usafiri lilikua moja ya sababu kubwa ya kufanya maamuzi magumu katika ajira niliyopata...

Wakati mwingine unajikuta huishi maisha ya binadamu loh

Preference yangu siku hizi
Ni lazima niwe naishi na sehemu ambayo access ya shughuli zangu kwa maana ya usafiri na miundo mbinu mingine iwe rafiki

Vinginevyo waweza chukia maisha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…