Ni mateso makubwa sana. Poleni sana. Muhamie Dodoma.... Makao Makuu ya Chama na Serikali. Mvua ikinyesha maji yanazama muda huo huo😄😃😁
Acha uongo unafananisha Beijing, London, Paris na hiyo takataka Dar ...
Hiyo Dar hata haijaifikia Pretori hapo south AFRICA ndio iwe Paris ... Watanzania tokeni nje ya nchi walau hapo south Africa mujionee
Sent using Jamii Forums mobile app
Dah...uzuri wake hapa ni JF ya maGT...wanaposema kwa uwazi [emoji2960]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hata Kwetu no balaaa radi zinapiga mvua kubwa mpaka nikatoka kuenda kuhakikisha isije ikawa nimelala kumbe raia washasepa kwenye safina mi sina habari
Pole saname mwenyewe nimoja Kati ya wahanga wa hii mvua aisee yaani imeshanirudisha nyuma kwanamna moja ama nyingine
Dar ilijengwa hovyo sana.
Dodoma imejengwa kwa mpangilio huwezi sikia kitu kama hicho cha mvua kidogo mafuriko siku tatu, Dar es salaam kila mtu kajenga anavyotaka nyumba zipo kama zilikuwa zinatupwa sio kujengwa.